Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Wadau labda sifahamu ni sifa miongoni mwetu nchi za kiafrika au Tanzania tu?
Nimeona marais wetu especially kizazi kipya wanapewa au kutunukiwa sifa ya Udaktari.
Ni kwamba ukiwa Daktari unaweza kuwa rais au udaktari ni chaka la Urais au tumedharau cheo cha udaktari na mpaka kila mtu anatunukiwa?
Nawasilisha