machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 565
- 1,158
Billion moja ya kitanzania inaweza endesha vikao vingapi vya bunge?
Hapo bajeti izingatie posho za wabunge tu
Hapo bajeti izingatie posho za wabunge tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize shoshi Tulia asiyetulia chawa mkuu wa kikeee wa CCMBillion moja ya kitanzania inaweza endesha vikao vingapi vya bunge?
Hapo bajeti izingatie posho za wabunge tu
Jibu haitoshi hata kikao kimoja maana kikao kimoja wanakung'uta billion 42Muulize shoshi Tulia asiyetulia chawa mkuu wa kikeee wa CCM
Alooo hao ndo wanakula nchii kwakweliWabunge 385@ TZS 500,000/=(tetesi posho mpya) per day unapata 192,500,000/=
Roughly, kikao kimoja kinatumia 200,000,000/=
Hivyo ukiwa na 1b itakuwa vikao 5 tu
42 billion kwa kikao hii sasa ni hatari kwani hela wanatoaga wapi hawa jamaaJibu haitoshi hata kikao kimoja maana kikao kimoja wanakung'uta billion 42
Kiberiti kinauzwa 100 sasa kodi ni 10% yaan fungu la 10 yaan shillings 10 ndio hio inayochangia billion 4242 billion kwa kikao hii sasa ni hatari kwani hela wanatoaga wapi hawa jamaa
Kwa mwenendo huo yatubidi tufosi na sisi tuingie huko huko tugawane hizo hela woteKiberiti kinauzwa 100 sasa kodi ni 10% yaan fungu la 10 yaan shillings 10 ndio hio inayochangia billion 42
Fosi tuKwa mwenendo huo yatubidi tufosi na sisi tuingie huko huko tugawane hizo hela wote