Mkuu kaa chini uandike upyaKuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote yanayowausu watu wa Social Development Officer wakati nafasi ya ajira ni kwa ajili ya kada ya Social Worker.
Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote yanayowausu watu wa Social Development Officer wakati nafasi ya ajira ni kwa ajili ya kada ya Social Worker.
Ulikutana na kundi la wajinga kwani wameshindwa kujua kuwa social workers wanahusika pia na Social development? Hii ndio shida ya kusoma bila kuelewa hahahaha….hizo kada zote zinafanana kazi wote wanatakiwa kuzifahamu vyema! Shida watu hawasomiKuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote yanayowausu watu wa Social Development Officer wakati nafasi ya ajira ni kwa ajili ya kada ya Social Worker.
Yaani hao watu ni wajinga sijapata kuona.Ulikutana na kundi la wajinga kwani wameshindwa kujua kuwa social workers wanahusika pia na Social development? Hii ndio shida ya kusoma bila kuelewa hahahaha….hizo kada zote zinafanana kazi wote wanatakiwa kuzifahamu vyema! Shida watu hawasomi
walijuaje kama maswali yalikua ni ya social development officer na sio ya social worker?Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote yanayowausu watu wa Social Development Officer wakati nafasi ya ajira ni kwa ajili ya kada ya Social Worker.
Hakuna kipindi rahisi kupata kazi kama sasa, na hii siisemei leo bali tangu usaili uwe chini ya PSRS na kuondoa kwenye taasisi binafsiKupata kazi serikalini Kwa kipindi hiki kama huna connection soma sana
Ulitoboa TRAHakuna kipindi rahisi kupata kazi kama sasa, na hii siisemei leo bali tangu usaili uwe chini ya PSRS na kuondoa kwenye taasisi binafsi
Tangu harakati za Dodoma zianze nakiri wengi wamechoma nauli ila matunda yake wameyaona
Mimi binafsi nilitoboa huko huko utumishi baada ya kujaribu kete kadhaa na nilipata bila connection yoyote ht sekretari tu wa utumishi simjui, hivyo nasadiki ni Mungu tu alinipigania🙏🏿
Social Development Officer ndio watu gani tena?Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote yanayowausu watu wa Social Development Officer wakati nafasi ya ajira ni kwa ajili ya kada ya Social Worker.
Hapana, ni Taasisi nyingine ila siyo hiyoUlitoboa TRA
Walikuwa wanasema social development wao walikuwa wanakisoma kama kijisehemu kidogo tu ndani ya social work. Kama mtahiniwa anatarajia kuajiriwa kama social worker unampimaje kwa maswali yote ya social development ilhali hizo nafasi ni kwa ajili ya social worker?Ulikutana na kundi la wajinga kwani wameshindwa kujua kuwa social workers wanahusika pia na Social development? Hii ndio shida ya kusoma bila kuelewa hahahaha….hizo kada zote zinafanana kazi wote wanatakiwa kuzifahamu vyema! Shida watu hawasomi
Description ziliegemea katika maswala "social welfare" sio "community development".Mitihani hutungwa kulingana na 'job description'...hao wameapply kaz lakin hawajui majukum yao....
Kuna "Afisa Ustawi wa jamii" na kuna " Afisa Maendeleo ya jamii". Nafasi iliyotolewa ni ya "Afisa Ustawi wa jamii" mtihani wa mchujo wamepewa wa "Afisa maendeleo ya jamii". Wacha kubeza, wana hoja katika hilo.Ulikutana na kundi la wajinga kwani wameshindwa kujua kuwa social workers wanahusika pia na Social development? Hii ndio shida ya kusoma bila kuelewa hahahaha….hizo kada zote zinafanana kazi wote wanatakiwa kuzifahamu vyema! Shida watu hawasomi