Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (written) ya secretarieti

Jaribu tena na tena...utatoboa tu umepata uzoefu utumie...utumish sio lelemama
Ndo muwe mnaelewa katika harakati hizi watu wakiwa na maduku duku yao, wana sababu za msingi, sio kuzodoa kama mlivo "comment" juu huko.
 
Maswali huwa yapo sawa acha ubishi...ukishindwa chukua kama experience next time unafanya vizuri...kufika oral sio mchezo
 
Back
Top Bottom