No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 May 28, 2024 #21 Sina Makuu said: Description ziliegemea katika maswala "social welfare" sio "community development". Click to expand... Jaribu tena na tena...utatoboa tu umepata uzoefu utumie...utumish sio lelemama
Sina Makuu said: Description ziliegemea katika maswala "social welfare" sio "community development". Click to expand... Jaribu tena na tena...utatoboa tu umepata uzoefu utumie...utumish sio lelemama
Orosso JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 949 Reaction score 2,284 May 28, 2024 #22 Uzalendo Installer said: Jaribu tena na tena...utatoboa tu umepata uzoefu utumie...utumish sio lelemama Click to expand... Ndo muwe mnaelewa katika harakati hizi watu wakiwa na maduku duku yao, wana sababu za msingi, sio kuzodoa kama mlivo "comment" juu huko.
Uzalendo Installer said: Jaribu tena na tena...utatoboa tu umepata uzoefu utumie...utumish sio lelemama Click to expand... Ndo muwe mnaelewa katika harakati hizi watu wakiwa na maduku duku yao, wana sababu za msingi, sio kuzodoa kama mlivo "comment" juu huko.
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 May 28, 2024 #23 Sina Makuu said: Ndo muwe mnaelewa katika harakati hizi watu wakiwa na maduku duku yao, wana sababu za msingi, sio kuzodoa kama mlivo "comment" juu huko. Click to expand... Maswali huwa yapo sawa acha ubishi...ukishindwa chukua kama experience next time unafanya vizuri...kufika oral sio mchezo
Sina Makuu said: Ndo muwe mnaelewa katika harakati hizi watu wakiwa na maduku duku yao, wana sababu za msingi, sio kuzodoa kama mlivo "comment" juu huko. Click to expand... Maswali huwa yapo sawa acha ubishi...ukishindwa chukua kama experience next time unafanya vizuri...kufika oral sio mchezo