Kuuliza siyo ujinga, hii kitu huwa naiona sana huku Pwani

Kuuliza siyo ujinga, hii kitu huwa naiona sana huku Pwani

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
605
Reaction score
217
Hii kitu naiona sana pwani kwetu bara ni vitu vyakigeni hata sielewi maana yake
IMG_20180318_164801.jpg
 
Hata wasukuma wale wa kolomije ndani ndani wanajivalia wakike na kiume.
 
Nasikia ni green light kwa mlango wa sebuleni na wa uchochoroni asasa sijui kushoto ndio sebuleni kulia ndio uchochoroni...natusubiri waje.
mkuu nimekuelewa japo kwa mbinde[emoji3] [emoji3]
 
Duh huo mguu uku kwetu pwani hatuna,inaonyesha kabisa uyo ni mtu wa bara uko.
Maana ya iyo kitu nitarudi kukujuza baadae hofu ondoa.
 
Back
Top Bottom