Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 683
Mazoezini,hata nyumbani mtu anaumia tu.Hata wasingecheza mapinduzi bado angeweza kuugua hata malaria,au siku ya mechi akaugua tumbo la kuhara.Waamini waliopo.
Mkuu sina hasira hata kidogo,mimi ni mpenda kandanda sana,ni kwa vile Tanzania tumejizoeza vibaya kuwa, kama timu ina mechi za kimataifa,eti timu inapumzishwa kucheza hata ligi kuu,ndo unakuta timu inaviporo hata sita kisa maandalizi ya mechi za kimataifa. Kucheza mpira ndo kazi ya mchezaji.Ndo maana Ulaya na mabara yaliyoendelea kisoka jumamosi wanacheza ligi kuu au FA cup zao, halafu jumanne na jumatano wanacheza mechi za kimaifa(UEFA naEUROPA),bila kiporo wala viporo.TFF wametuzoeza hii ndo maana tunaona kama Simba hawajielewi hivi .Lakini kama umewahi cheza mpira kwa kiwango chochote kile mcheza mpira ufuraia kucheza mechi yoyote ile iwe ndogo au kubwa.Swala la mechi ipi ni muhimu hilo lipo wazi sana.Je siku tukiondokana na mfumo wa TFF wa kupumzisha timu zetu na kusimamisha ligi kwasababu ya maandalizi ya mechi za kimataifa unadhani kina BOKO,OKWI,CHAMA na wote muhimu hawatapangwa kucheza ligi kuu Jumatano, halafu jumapili wacheze mechi ya kimataifa?Kikokotoo kipya umetoa maoni kwa hasira na kuongea kisha ili mno kuliko ukweli, siku zote kocha bora dunia nzima huwa pia na uwezo wa kupima na kutafakari mambo. Swala langu ipi michezo muhimu kwa Simba kwa sasa? Hii ndiyo iwe tafakari ya kocha, viongozi wote wa timu pamoja na mashabiki wao. Kinyume cha hapo akili ni nywele kila mtu ana zake.
Nilifikiri ungesema Dr kasema,kumbe ni Simba,haya..Ila kwa taarifa ya Dr atakua nje kwa wiki 3 au zaidi.
Kwa kifupi hao Simba mwa sasa wanaonesha wana kiburi na dharau sana kwa ajili ya pesa, kwa akili zao wanakuwa a ile dhana ya pesa ndo kila kitu,Nilifikiri ungesema Dr kasema,kumbe ni Simba,haya..Ila kwa taarifa ya Dr atakua nje kwa wiki 3 au zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huko si salama mzee, unaweza kujikuta umetwangwa kichwa cha reception km utani ...na reception kuharibika kabisa.Kuumia kwenye mpira no kawaida chief. Kama hamtaki kuguswa mkacheze draft. Huko hamna kugusana ni maneno mengi tu kama ya msema ovyo wenu. PUMBAVU SANA
Sema uliwaonya, acha kua na mihemuko isiyo na mana kwani kapombe aliumia kwenye mechi, mchezaji kuumia sio kua ndo program ya mwalimu imefeli,Hakika ni busara kwa Viongozi kuwa na busara ya kuwasikiliza walio chini yao.Klabu ya Simba ina kabiliwa na Mashindano makubwa barani Afrika.Mashindano hayo yanahitaji Wachezaji wenye uwezo na uzoefu mkubwa .Kutokana na hali hiyo baadhi ya wapenda soka tulitoa ushauri kwa viongozi wa Klabu ya Simba kutopeleka Timu ya kwanza huko Zanzibar kwenye mashindano ya Mapinduzi Cup badala yake wapeleke kikosi cha Pili.Sababu za kuwafanya hivyo ni kuwalinda Wachezaji wa kikosi cha kwanza wasiumie lakini Viongozi hao wamepuuza ushauri huo na kupeleka timu na matokeo yake yameanza kuonekana kwa Mchezaji Erasto Nyoni kuumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini lazima acheze Nyoni wakati tuna MurshidKibongo bongo Nyoni Jumamosi atalazimishwa kucheza hata kama hajapona! Mikia wanajigamba kuwa na kikosi kipana ila woga umewajaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, nimecheka sana aiseemtawapa waaarabu vya kusemea helua...helua
Kwa hiyo Benchi la ufundi ndio linamtumaga akaseme Simba ina kikosi kipana kinachoweza kucheza mechi mbili tofauti ndani ya siku moja?Manara sio benchi la ufundi yule ni msemaji wa simba...yeye anasema ambacho benchi la ufundi limemwagiza kusema
Ilikuuma sana eeh...yule ni msemaji wa timu...kazi yake kubwa wakati mwingine ni kuhamasisha timu na kuwafurahisha wana simba hata kama anachosema hakina uhalisiaKwa hiyo Benchi la ufundi ndio linamtumaga akaseme Simba ina kikosi kipana kinachoweza kucheza mechi mbili tofauti ndani ya siku moja?