Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 683
Mazoezini,hata nyumbani mtu anaumia tu.Hata wasingecheza mapinduzi bado angeweza kuugua hata malaria,au siku ya mechi akaugua tumbo la kuhara.Waamini waliopo.
Kikokotoo kipya umetoa maoni kwa hasira na kuongea kisha ili mno kuliko ukweli, siku zote kocha bora dunia nzima huwa pia na uwezo wa kupima na kutafakari mambo. Swala langu ipi michezo muhimu kwa Simba kwa sasa? Hii ndiyo iwe tafakari ya kocha, viongozi wote wa timu pamoja na mashabiki wao. Kinyume cha hapo akili ni nywele kila mtu ana zake.