Kuumia kwa Erasto Nyoni: Viongozi wa Simba tuliwaonya kupeleka timu A Mapinduzi Cup

Kuumia kwa Erasto Nyoni: Viongozi wa Simba tuliwaonya kupeleka timu A Mapinduzi Cup

Mazoezini,hata nyumbani mtu anaumia tu.Hata wasingecheza mapinduzi bado angeweza kuugua hata malaria,au siku ya mechi akaugua tumbo la kuhara.Waamini waliopo.

Kikokotoo kipya umetoa maoni kwa hasira na kuongea kisha ili mno kuliko ukweli, siku zote kocha bora dunia nzima huwa pia na uwezo wa kupima na kutafakari mambo. Swala langu ipi michezo muhimu kwa Simba kwa sasa? Hii ndiyo iwe tafakari ya kocha, viongozi wote wa timu pamoja na mashabiki wao. Kinyume cha hapo akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Kikokotoo kipya umetoa maoni kwa hasira na kuongea kisha ili mno kuliko ukweli, siku zote kocha bora dunia nzima huwa pia na uwezo wa kupima na kutafakari mambo. Swala langu ipi michezo muhimu kwa Simba kwa sasa? Hii ndiyo iwe tafakari ya kocha, viongozi wote wa timu pamoja na mashabiki wao. Kinyume cha hapo akili ni nywele kila mtu ana zake.
Mkuu sina hasira hata kidogo,mimi ni mpenda kandanda sana,ni kwa vile Tanzania tumejizoeza vibaya kuwa, kama timu ina mechi za kimataifa,eti timu inapumzishwa kucheza hata ligi kuu,ndo unakuta timu inaviporo hata sita kisa maandalizi ya mechi za kimataifa. Kucheza mpira ndo kazi ya mchezaji.Ndo maana Ulaya na mabara yaliyoendelea kisoka jumamosi wanacheza ligi kuu au FA cup zao, halafu jumanne na jumatano wanacheza mechi za kimaifa(UEFA naEUROPA),bila kiporo wala viporo.TFF wametuzoeza hii ndo maana tunaona kama Simba hawajielewi hivi .Lakini kama umewahi cheza mpira kwa kiwango chochote kile mcheza mpira ufuraia kucheza mechi yoyote ile iwe ndogo au kubwa.Swala la mechi ipi ni muhimu hilo lipo wazi sana.Je siku tukiondokana na mfumo wa TFF wa kupumzisha timu zetu na kusimamisha ligi kwasababu ya maandalizi ya mechi za kimataifa unadhani kina BOKO,OKWI,CHAMA na wote muhimu hawatapangwa kucheza ligi kuu Jumatano, halafu jumapili wacheze mechi ya kimataifa?
 
Nilifikiri ungesema Dr kasema,kumbe ni Simba,haya..Ila kwa taarifa ya Dr atakua nje kwa wiki 3 au zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kifupi hao Simba mwa sasa wanaonesha wana kiburi na dharau sana kwa ajili ya pesa, kwa akili zao wanakuwa a ile dhana ya pesa ndo kila kitu,

Mgano tembea na ile match baada ya NKANA yaani ile ya wale vijana wa Kigoma 'MASHUJAA' kombe la " FA " utajua COACH na washauri wake wote ni wale wale.
 
kikubwa ni kumwombea Mungu awe fut mapema kadri iwezekanavyo. swala la kikosi cha kwanza mie pia niliwaza hilo ila wachezaji hawawezi kukaa na kufanya mazoei tuu lazima wapate timu za kuwapima uwezo na ndo ka hizo wanazocheza nazo

Pia jaribu kuangalia mchezaji awe nje ya mashindano toka 1/1/2019 mpaka 12/02/2019 nimbali sana kwa mchezaji ambaye alishazoea kupigana kwa muda mrefu uwanjani kikubwa ni bench la ufundi kuwatumia kwa baadhi na wengine kucheza mech zijazo ama wachezaji kutokea bench ama kuanza kwa kipindi cha kwanza then baadae wanawapa nafasi wachezaji wengine

Lengo kuu la kocha ni kuwaweka tayari na kuwapima kwa mechi wachezazo kwasasa ingekuwa sivyo mbona angeweka kikosi chapili chote? kwahiyo tusiwe watu wa kulaumu ila tuwaombee wacheze salama na wawe watu wa tahadhari uwanjani
 
Unakumbuka Brazil walikuja kucheza Bongo wakatupiga 5 wakiwa njiani kwenda SA world cup...wachezaji wetu waliambiwa wasicheze kwa nguvu...sasa mnaenda Zanzibar mnajuwa wale wapemba wakicheza na bara kwao kama vita..Uchebe hakutumia akili...bora mngewaomba hata African Lyon mcheze nao friend match wasingecheza kwa nguvu nyingi kama wale KMKM
 
Hakika ni busara kwa Viongozi kuwa na busara ya kuwasikiliza walio chini yao.Klabu ya Simba ina kabiliwa na Mashindano makubwa barani Afrika.Mashindano hayo yanahitaji Wachezaji wenye uwezo na uzoefu mkubwa .Kutokana na hali hiyo baadhi ya wapenda soka tulitoa ushauri kwa viongozi wa Klabu ya Simba kutopeleka Timu ya kwanza huko Zanzibar kwenye mashindano ya Mapinduzi Cup badala yake wapeleke kikosi cha Pili.Sababu za kuwafanya hivyo ni kuwalinda Wachezaji wa kikosi cha kwanza wasiumie lakini Viongozi hao wamepuuza ushauri huo na kupeleka timu na matokeo yake yameanza kuonekana kwa Mchezaji Erasto Nyoni kuumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema uliwaonya, acha kua na mihemuko isiyo na mana kwani kapombe aliumia kwenye mechi, mchezaji kuumia sio kua ndo program ya mwalimu imefeli,
Sasa ulitaka wawe wanafanya tu mazoezi bila kua na mechi za kirafiki au ulitaka uongozi uandae mechi za kirafiki wakt Mapinduzi cup ipo.
Mimi kwa maoni yangu simba walifanya jambo la mana kupeleka kikosi kizima Zanzibar. Imemsaidia kocha kujua combination za wachezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
simba ikifungwa kisingizio wanacho tayari kuwa eti huyo kocha kupeleka timu mapinduzi cup ngoja tuone.Yanga wao mhh kwanza hawakutaka kabisa kupeleka timu huko basi tu
 
Tatizo s kuumia Kwa nyon tatizo simba inahitaj beki mzur zaid ya nyon watu wengine ata Mpira hawajachezaga na Mpira hawaujui na ndohao wanalalamika kuumia Kwa nyon
 
Hata mazoezini angeweza kuumia,ila kocha wa Mikia anarisk sana,na nimuoga sana tangu Mashujaa wamemnyoosha
 
Yanga walawitiwa Zenji-Source gazetini.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Manara sio benchi la ufundi yule ni msemaji wa simba...yeye anasema ambacho benchi la ufundi limemwagiza kusema
Kwa hiyo Benchi la ufundi ndio linamtumaga akaseme Simba ina kikosi kipana kinachoweza kucheza mechi mbili tofauti ndani ya siku moja?
 
Kwa hiyo Benchi la ufundi ndio linamtumaga akaseme Simba ina kikosi kipana kinachoweza kucheza mechi mbili tofauti ndani ya siku moja?
Ilikuuma sana eeh...yule ni msemaji wa timu...kazi yake kubwa wakati mwingine ni kuhamasisha timu na kuwafurahisha wana simba hata kama anachosema hakina uhalisia
 
Back
Top Bottom