Kuumia kwenye mapenzi ni swala la uamuzi

Kuumia kwenye mapenzi ni swala la uamuzi

Haya mambo hayana mjuzi. Unaeza kujifanya umeyajulia ila usiku unatokwa chozi. Sema magnitude ya maumivu na jinsi ya kupokea maumivu na kumove on inatofautiana kati ya mtu na mtu.
Hivi ni lazima kuumia
 
Anaekumbukwa ni yule aliyekuwa akitoa mshiko mnene sio msimamia kucha.
Kuna kitu nimegundua recently ukiona mwanamke anapenda sana hela za mwanaume yupo tayari hata kutoa tigo ili apate pesa

Pesa ikiingilia kwenye mapenzi hakuna penzi hapo, ni kama umenunuliwa kama dada poa wengine sema wewe unakua umenunuliwa kwa kificho,

Pia kumbuka hela hiyo hiyo itakutoa heshima yako ataweza kukuingizia tundu lolote alitakalo kwasababu ameshaiona weakness yako, sasa madhara ya tundu la pili si unayajua?
 
Siku izi mapenzi hayanisumbui kabisa, ke akiniletea nye nye nye za ajabu napotezea maisha mengine yanaendelea maana yameshanigharimu sana.
 
Nakusikiliza jirani yangu sema neno banah hoja zako huwa zinamashiko
Mimi sasa jirani 😅😅

Cha msingi ni kuendelea kuyafurahia maisha..ndani ya kufurahi a maisha kuna kila kitu humo..😆😆😆yani full package.


Halafu jirani na mwenzio Mnazareth mlipotelea wapi!!
 
Wewe umeshawahi kuumizwa mara ngapi, wewe unapenda ipi chapa ilale, au long term relationship
Napenda kuwa kwenye committed relationship. Kwahiyo kuumizwa ni jambo tarajiwa ukiwa kwenye mahusiano ya hivo iwapo mambo yataenda ndivo sivo. Na wakati mwingine ni vigumu kulet them go ila unapata ujasiri wa kuwaacha waende tu. Ili niweze hata kukisiana na mtu lazima niwe na hisia na wewe kwahiyo mambo ya kuruka ruka bila kuwekeza hisia siaywezi. Na kuwekeza hisia huwa inakuja tu bila kupanga
 
Haya mambo hayana mjuzi. Unaeza kujifanya umeyajulia ila usiku unatokwa chozi. Sema magnitude ya maumivu na jinsi ya kupokea maumivu na kumove on inatofautiana kati ya mtu na mtu.
Angalia my signature! And that is me,
 
Back
Top Bottom