Dawa ni moja tu na hiyo dawa inafanya kazi vilivyo kuepuka dramas na maumivu ya mioyo na mawazo yanayotaka kutoa rohoNapenda kuwa kwenye committed relationship. Kwahiyo kuumizwa ni jambo tarajiwa ukiwa kwenye mahusiano ya hivo iwapo mambo yataenda ndivo sivo. Na wakati mwingine ni vigumu kulet them go ila unapata ujasiri wa kuwaacha waende tu. Ili niweze hata kukisiana na mtu lazima niwe na hisia na wewe kwahiyo mambo ya kuruka ruka bila kuwekeza hisia siaywezi. Na kuwekeza hisia huwa inakuja tu bila kupanga
Experience is the best teacherAiseh..pole na hongera kwa kupata uzoefu jirani
Mnazareth yupo tulipoteana majukumu,Mimi sasa jirani [emoji28][emoji28]
Cha msingi ni kuendelea kuyafurahia maisha..ndani ya kufurahi a maisha kuna kila kitu humo..[emoji38][emoji38][emoji38]yani full package.
Halafu jirani na mwenzio Mnazareth mlipotelea wapi!!
Ahaaa basi nimefurahi kukuona jukwaani tena.Mnazareth yupo tulipoteana majukumu,
Ila kama unaanza kukomaa vile, mapenzi unayajua wewe, u been there done that [emoji106]
π―π―ππππExperience is the best teacher
Trust mi jirani..kuna siku mtu ataona kitu cha tofauti unacho wewe na hakipo kwa mtu mwingine yeyote na hicho ndicho kitamfanya mtu akae na wewe..Relationship Itakayokua sirius ina price to pay.. Huwa haiji tu kama sadaka imedondola, maana mapenzi siku hizi yameshaingwa na viwavi
Mtu kukataa 'sex' ni ugonjwa mmoja mbaya sanaIsaac newton gets bored invets caliculus aliconcetrate kiasi kutokuwa na mpenzi na bila kufanya mapenzi mpk kufa mapenzi kitu gan concentrate na kazi na kumjua mungu
Tatizo furaha ya mapenzi huwa haidumu. Inakoma pale udhaifu wa mmoja ukionekana dhahiri.Trust mi jirani..kuna siku mtu ataona kitu cha tofauti unacho wewe na hakipo kwa mtu mwingine yeyote na hicho ndicho kitamfanya mtu akae na wewe..
Si kila kitu ni cha kulazimisha kikae maishani mwako.
Fanya kwa kiwango chako kama mwanadamu mengine yakabidhi mbinguni kwa Mungu.
Hao masoul kitu gani wapo sana extro..tatizo ni kwamba mind zenu zina ile kitu kwamba wanawake wote ni Vimeo kwahiyo unamtreat ndivyo sivyo kwa sababu aliyepita kakufsnyia ushenzi..Tatizo furaha ya mapenzi huwa haidumu. Inakoma pale udhaifu wa mmoja ukionekana dhahiri.
Mnaweza furahia mwanzoni ila baadae mmoja akaanza kuona mwenzie kama mzigo hasa matatizo makuu yakiwa aidha mwanaume hana hela/mchongo au mwanamke ni omba omba. Haya ndio mambo yanyoongoza kuharibu ile furaha sikuhizi.
Wanaoweza kudumu ni soulmates with ties to unconditional love. Sasa jiulize hio unconditional love unaipatia wapi now zaidi ya kwa mama yako mzazi?
Umtafutie kisha aanze dharau tena akusaliti juu sababu hata umuhimu wako utakuwa haupo tena! Hivi tabia zenu unafikiri hatuzijui nyie...π π π just kidding!Hao masoul kitu gani wapo sana extro..tatizo ni kwamba mind zenu zina ile kitu kwamba wanawake wote ni Vimeo kwahiyo unamtreat ndivyo sivyo kwa sababu aliyepita kakufsnyia ushenzi..
Sasa na sisi siku hizi tunaamua kunata na beat tu mradi maisha yaende.
Hivi nikuulize...hao wanawake wa miaka iliyopita walikuwa hawahudumiwi kwa kila kitu na wanaume zao?kwanini mnapenda kulalamika hivyo?
Ukiona mwanamke wako uko nae kwenye mahusiano amegeuka kuwa matonya mtafutie kitu kitakachomfanya asiombe...na umwambie ukweli kuwa unamfanyia 1,2,3 kwa kuwa hutaki kuombwa ombwa pesa kila mara fullstop
Wanaume na nyie hamtabiriki kabisa..ninaweza kukupenda kwa dhati kabisa na nisiwe matonya mwisho wa siku unaniona mi poyoyo unaenda mhonga mwanamke mwingine hukoπ£π£
Hakuna namna extro tuhongeni tu
π€£π€£π€£ππππ bhanaeeeee unanichosha...hakuna namna endeleeni kutuhonga tu maana hamnaga jema nyie watuUmtafutie kisha aanze dharau tena akusaliti juu sababu hata umuhimu wako utakuwa haupo tena! Hivi tabia zenu unafikiri hatuzijui nyie...π π π just kidding!
Kimsingi mwanamke ni opportunistic. Na hio kumtafutia kitu cha kufanya endapo angekuwa na akili na passion angekuwa nacho hata kabla hamjakutana. It works but for few of them.