Kuumwa UTI kwa muda mrefu hupelekea mtu kupungua mwili?

bunny boo

Member
Joined
Mar 29, 2025
Posts
8
Reaction score
3
Je, kuumwa UTI Kwa mda mrefu kunapelekea mtu kupungua sana Kwa mwili?

Kuna rafik yangu, aliugua UTI Kwa mda mrefu akafanya urine culture akakuta bacteria wa st, aureuns akatumia dawa akapona lakini kadri siku zinavyoenda anazidi kupungua kimwili kapima magonjwa yote Hana tatizo lakini hali hii inaendelea ni mwaka sasa anaomba ushauri wenu wakuu
 
Hali iko hivi, Kuna rafiki yangu aliugua UTI kwa muda mrefu, akafanya urine culture na kukutwa na bacteria St. aureus. Alitumia dawa na akapona, lakini kadri siku zinavyoenda anazidi kupungua kimwili.

Ameshapima magonjwa yote, hana tatizo, lakini hali hii inaendelea. Ni mwaka sasa. Anaomba ushauri wenu wakuu.
 
Sema ni wewe
 
Afanyaje sasa apo mkuu
. Badilisha mfumo wa diet ( vyakula vya wanga kwa wingi, protein kwa mbali )

. Mazoezi kiasi ya kujenga misuli

. Tumia anti-worms drugs kila baada ya miezi 3

. Onana na afya/afisa lishe akupe mlolongo wa chakula kwa siku kulingana na afya yako ilivyo.

. Pia aendelee kupima HIV status kila baada ya miezi 3 au 6,
 
Je, kuumwa UTI Kwa mda mrefu kunapelekea mtu kupungua sana Kwa mwili?

Kuna rafik yangu, aliugua UTI Kwa mda mrefu akafanya urine culture akakuta bacteria wa st, aureuns akatumia dawa akapona lakini kadri siku zinavyoenda anazidi kupungua kimwili kapima magonjwa yote Hana tatizo lakini hali hii inaendelea ni mwaka sasa anaomba ushauri wenu wakuu

Aende kwa mtaalamu wa afya/daktari.
Achukuliwe historia ya kuumwa kwake vyema, pia atagamyiwa tathimini ya mwili na vipimo kwa kadri itakavyofaa.

Asiende na majibu kichwani ya UTI, bali kjieleza upya, UTI inaweza kuwa ugonjwa mwambata/coincidence au matokeo/ complication ya tatizo la msingi au kuna jingine lisilo na uhusiano kabisa.
 
Sawa
 
. Badilisha mfumo wa diet ( vyakula vya wanga kwa wingi, protein kwa mbali )

. Mazoezi kiasi ya kujenga misuli

. Tumia anti-worms drugs kila baada ya miezi 3

. Onana na afya/afisa lishe akupe mlolongo wa chakula kwa siku kulingana na afya yako ilivyo.

. Pia aendelee kupima HIV status kila baada ya miezi 3 au 6,
Sawa
 
Je, kuumwa UTI Kwa mda mrefu kunapelekea mtu kupungua sana Kwa mwili?

Kuna rafik yangu, aliugua UTI Kwa mda mrefu akafanya urine culture akakuta bacteria wa st, aureuns akatumia dawa akapona lakini kadri siku zinavyoenda anazidi kupungua kimwili kapima magonjwa yote Hana tatizo lakini hali hii inaendelea ni mwaka sasa anaomba ushauri wenu wakuu
Njoo PM
 
Huweza kutokea kama ni sugu inaweza panda hadi kwenye Figo (kidney stones). Xo ni kawaida Kwa mgonjwa kupungua mwili. Tiba ya haraka ni muhimu, ziba ufa . . .
 
Hapana ,magonjwa yanahiweza kupunguza uzito ni hiv na tb ,typhoid hayo mengine ni uongo
 
Back
Top Bottom