Kuumwa UTI kwa muda mrefu hupelekea mtu kupungua mwili?

Kuumwa UTI kwa muda mrefu hupelekea mtu kupungua mwili?

Je, kuumwa UTI Kwa mda mrefu kunapelekea mtu kupungua sana Kwa mwili?

Kuna rafik yangu, aliugua UTI Kwa mda mrefu akafanya urine culture akakuta bacteria wa st, aureuns akatumia dawa akapona lakini kadri siku zinavyoenda anazidi kupungua kimwili kapima magonjwa yote Hana tatizo lakini hali hii inaendelea ni mwaka sasa anaomba ushauri wenu wakuu
Vipi Kawa kama fuvu? Bado kichwa kitapungua sana.

😀😀😀 Utani tu!.
 
Hali iko hivi, Kuna rafiki yangu aliugua UTI kwa muda mrefu, akafanya urine culture na kukutwa na bacteria St. aureus. Alitumia dawa na akapona, lakini kadri siku zinavyoenda anazidi kupungua kimwili.

Ameshapima magonjwa yote, hana tatizo, lakini hali hii inaendelea. Ni mwaka sasa. Anaomba ushauri wenu wakuu.
Pole Sana ndugu.....utapona tu

DR Mambo Jambo msaidie mleta mada kwa ushauri
 
Ukiona mtu ana anza na kuna rafiki yangu ujue ni yeye,pole sana mkuu .
 
Back
Top Bottom