Afanyaje sasa mkuu ili hali hiyo iisheTena sana
Sema ni weweHali iko hivi, Kuna rafiki yangu aliugua UTI kwa muda mrefu, akafanya urine culture na kukutwa na bacteria St. aureus. Alitumia dawa na akapona, lakini kadri siku zinavyoenda anazidi kupungua kimwili.
Ameshapima magonjwa yote, hana tatizo, lakini hali hii inaendelea. Ni mwaka sasa. Anaomba ushauri wenu wakuu.
Hamna mkuuSema ni wewe
Afanyaje sasa apo mkuuImmunity huwa inashuka
Ashapima hadi mara 4 Hana mkuuAkapime na HIV
. Badilisha mfumo wa diet ( vyakula vya wanga kwa wingi, protein kwa mbali )Afanyaje sasa apo mkuu
Je, kuumwa UTI Kwa mda mrefu kunapelekea mtu kupungua sana Kwa mwili?
Kuna rafik yangu, aliugua UTI Kwa mda mrefu akafanya urine culture akakuta bacteria wa st, aureuns akatumia dawa akapona lakini kadri siku zinavyoenda anazidi kupungua kimwili kapima magonjwa yote Hana tatizo lakini hali hii inaendelea ni mwaka sasa anaomba ushauri wenu wakuu
SawaAende kwa mtaalamu wa afya/daktari.
Achukuliwe historia ya kuumwa kwake vyema, pia atagamyiwa tathimini ya mwili na vipimo kwa kadri itakavyofaa.
Asiende na majibu kichwani ya UTI, bali kjieleza upya, UTI inaweza kuwa ugonjwa mwambata/coincidence au matokeo/ complication ya tatizo la msingi au kuna jingine lisilo na uhusiano kabisa.
Sawa. Badilisha mfumo wa diet ( vyakula vya wanga kwa wingi, protein kwa mbali )
. Mazoezi kiasi ya kujenga misuli
. Tumia anti-worms drugs kila baada ya miezi 3
. Onana na afya/afisa lishe akupe mlolongo wa chakula kwa siku kulingana na afya yako ilivyo.
. Pia aendelee kupima HIV status kila baada ya miezi 3 au 6,
Njoo PMJe, kuumwa UTI Kwa mda mrefu kunapelekea mtu kupungua sana Kwa mwili?
Kuna rafik yangu, aliugua UTI Kwa mda mrefu akafanya urine culture akakuta bacteria wa st, aureuns akatumia dawa akapona lakini kadri siku zinavyoenda anazidi kupungua kimwili kapima magonjwa yote Hana tatizo lakini hali hii inaendelea ni mwaka sasa anaomba ushauri wenu wakuu
Sometimes kupungua kunatokana na Psychological problems! Mind ikiwa na jam la maprobleee