Hali iko hivi, Kuna rafiki yangu aliugua UTI kwa muda mrefu, akafanya urine culture na kukutwa na bacteria St. aureus. Alitumia dawa na akapona, lakini kadri siku zinavyoenda anazidi kupungua kimwili.
Ameshapima magonjwa yote, hana tatizo, lakini hali hii inaendelea. Ni mwaka sasa. Anaomba ushauri wenu wakuu.