triumvirate
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 206
- 374
Mikoa ni vyombo vya kiutawala wa kisiasa. Na hivyo maamuzi ya uundwaji wake ni purely ya kisiasa. Hoja nyingine huja tu kuhalalisha maamuzi. Ni ziada. Hivyo wanasiasa wafanya maamuzi makubwa wakishaamua sehemu iwe mkoa itakua tu. Wakikataa haiwi.Hiki unachosema ingekuwa ni hoja kama tungeona mikoa mikubwa zaidi nchini ikigawanywa kwanza kabla ya ile midogo.
Au hoja yako ingemake sense zaidi kama ingeundwa mikoa midogomidogo miingi from the begining
Kuweka record sawa,Ngara na Bihalamuro sio maeneo ya Wahaya,Ngara kuna Waangaza na Biharamulo ni wasubi,mimi nasapoti hizo wilaya za Ngara na Bihalamuro zitoke Kagera ili mbaki wahaya peke yenu muwe mnapigana katerero vizuri🤣🤣🤣🤣Huko shuleni aliposoma na wahaya walikuwa wakimuita "mushuti", yaani wale warundi waliokimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe miaka hiyoo. Na wahaya walikuwa na dharau kubwa kwa warundi kwa sababu walikuwa wakiwatumia kama vibarua vya kuwalimia mashamba yao ya ndizi.
Magufuli hajawahi kuwapenda Wahaya au uhaya, amefight sana kujidistance kutoka kwao. Sasa Mkoa wa Kagera ni nguzo ya Uhaya
Hizo ni dialect za wahaya tu na bado ni wachache populationwiseKuweka record sawa,Ngara na Bihalamuro sio maeneo ya Wahaya,Ngara kuna Waangaza na Biharamulo ni wasubi,mimi nasapoti hizo wilaya za Ngara na Bihalamuro zitoke Kagera ili mbaki wahaya peke yenu muwe mnapigana katerero vizuri🤣🤣🤣🤣
Ila lugha yao wanayoongea ni kama wahaya sema wamebase sana kwenye urundi.Kuweka record sawa,Ngara na Bihalamuro sio maeneo ya Wahaya,Ngara kuna Waangaza na Biharamulo ni wasubi,mimi nasapoti hizo wilaya za Ngara na Bihalamuro zitoke Kagera ili mbaki wahaya peke yenu muwe mnapigana katerero vizuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Miminimeandika ninachokijua labda wewe ndo unajibu vitu usivyovijuaMkuu mleta mada ulipoweka suala kwamba Magufuli aliwachukia wahaya ndio ulipoharibu kabisa ujumbe wako.
Mama yake JPM anayo asili ya hao wahaya na alipanga baada ya kustaafu aende kuishi Kagera. Uzi wako umepoteza maana baada ya kuandika kitu usichokijua.
Mimi ni mwenyeji wa Ngara na sio mhaya. Sio kila anayetoka Kagera ni mhaya.
Anna Kajumulo Tibaijuka ndiye ataumia zaidi maana ardhi yake maelfu ya ekali anazomiliki zitarudi kwenye mkoa mpya wa Chato! Huko hakuna anayemtetemekea kama nyie wahaya na "Ma Profesa mawe shumaramu" huko hawacheki na nyani na lazima ardhi ile igawiwe kwa wananchi!Magufuli alikuwa anachukia Wahaya kwa sababu tangu ujanani walikuwa wakimuita "Mushuti" - Yaani Mrundi
Alikuwa na chuki na Uhaya, tangu alipofanya figisu kuichomoa Chato kutoka katika mkoa wa Kagera ni muendelezo wake wa kutaka kujidistance kutoka katika influence na cultural dominance ya wahaya katika hiyo region.
Na chuki yake mliishuhudia baada ya tetemeko.
Samia aachane na idea hii ya Mkoa wa Chato, haina mantiki
Wider context ya uzi ni chuki tu. Kwamba anawachukia wahaya, ili iweje?. Unajenga taswira mbovu ili Hayati aonekane alikuwa mtu wa chuki.Miminimeandika ninachokijua labda wewe ndo unajibu vitu usivyovijua
Mimi mwenyewe nina damu ya Kihangza ndani yangu, lakini hii hainizuii kutambua kuwa Wahaya wamekuwa ni dominant katika huo mkoa na ndiyo Majority!
Siku nyingine ukisoma mada, elewa wider context badala ya kuargue semantics
- Sasa kwa akili zako ulidhani mimi sijui makabila madogomadogo yaliyoko Kagera?
- Au kwa akili zako unadhani mimi naamini kwamba kuna mkoa wenye kabila moja tu ndani ya mipaka yako ya kiutawala?
- Unadhani mimi sijui suala la wahaya, waziba,wanyambo, wahangaza, wasubi?
- Unadhani mimi sijui koo ndogondogo za wahaya kama vile Warwani, Watundu etc?
Wider context ya uzi ni chuki tu. Kwamba anawachukia wahaya, ili iweje?. Unajenga taswira mbovu ili Hayati aonekane alikuwa mtu wa chuki.
Wakati utumishi wake haukuonyesha chuki. Alijenga barabara Tanzania yote, aliidhinisha pesa za kununulia ndege ili zitumiwe na watanzania wote. Viwanja vya ndege vimejengwa Tanzania yote.
Bandari zote zinaongezwa ukubwa. Unapojenga dhana kwamba aliwachukia wahaya unakuwa ukijaribu kumpa Hayati muonekano potofu. Aliyoyafanya hayakuwa na agenda ya chuki, kwanini awachukie wahaya?.
Hawezi kujitetea kwa sasa, sisi ambao bado tunapumua tunao wajibu wa kumtetea.
Ile shule iliyokarabatiwa kwa mabilioni ya shilingi na yenyewe ni sehemu ya chuki na kejeli.Chuki yake ilidhihirika kwenye tetemeko, na kauli za kejeli alizozitoa kwa wahaya kipindi cha tetemeko