Kuunda Mkoa wa Chato ni kupoteza historia ya Wahaya, Mkoa wa Chato hauna maslahi kwa urithi wa utamaduni wa Mtanzania

Kuunda Mkoa wa Chato ni kupoteza historia ya Wahaya, Mkoa wa Chato hauna maslahi kwa urithi wa utamaduni wa Mtanzania

Hiki unachosema ingekuwa ni hoja kama tungeona mikoa mikubwa zaidi nchini ikigawanywa kwanza kabla ya ile midogo.

Au hoja yako ingemake sense zaidi kama ingeundwa mikoa midogomidogo miingi from the begining
Mikoa ni vyombo vya kiutawala wa kisiasa. Na hivyo maamuzi ya uundwaji wake ni purely ya kisiasa. Hoja nyingine huja tu kuhalalisha maamuzi. Ni ziada. Hivyo wanasiasa wafanya maamuzi makubwa wakishaamua sehemu iwe mkoa itakua tu. Wakikataa haiwi.
 
Hiyo title inamtazamo finyu sana! Baada ya miaka 50+ ijayo hakutakuwa na mtu anayejiita pure kabila flani kwa sbb ya muingiliano (inter-trible marriages)! Faida ya kuwa na mkoa wa Chato unazidi vijihasara hivi vidogo visivyokuwa na faida yoyote kwa maisha ya kila siku ya watz! Chato itakuwa mkoa soon[emoji12]!
 
Huko shuleni aliposoma na wahaya walikuwa wakimuita "mushuti", yaani wale warundi waliokimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe miaka hiyoo. Na wahaya walikuwa na dharau kubwa kwa warundi kwa sababu walikuwa wakiwatumia kama vibarua vya kuwalimia mashamba yao ya ndizi.

Magufuli hajawahi kuwapenda Wahaya au uhaya, amefight sana kujidistance kutoka kwao. Sasa Mkoa wa Kagera ni nguzo ya Uhaya
Kuweka record sawa,Ngara na Bihalamuro sio maeneo ya Wahaya,Ngara kuna Waangaza na Biharamulo ni wasubi,mimi nasapoti hizo wilaya za Ngara na Bihalamuro zitoke Kagera ili mbaki wahaya peke yenu muwe mnapigana katerero vizuri🤣🤣🤣🤣
 
Hizo ni dialect za wahaya tu na bado ni wachache populationwise

Umewahi kukutana na Wasubi au wahangaza wangapi Dar?
 
Yule jamaaa alitamani sana kale kakijiji chake kawe hata nchi ikiwezekana , ndiomaana Mungu akaingilia kati maana kulikua hakuna wakumkemea
 
Mkuu mleta mada ulipoweka suala kwamba Magufuli aliwachukia wahaya ndio ulipoharibu kabisa ujumbe wako.

Mama yake JPM anayo asili ya hao wahaya na alipanga baada ya kustaafu aende kuishi Kagera. Uzi wako umepoteza maana baada ya kuandika kitu usichokijua.

Mimi ni mwenyeji wa Ngara na sio mhaya. Sio kila anayetoka Kagera ni mhaya.
 
Yule mzimu bado anatesa watu huko kanda ya ziwa.
 
Kuweka record sawa,Ngara na Bihalamuro sio maeneo ya Wahaya,Ngara kuna Waangaza na Biharamulo ni wasubi,mimi nasapoti hizo wilaya za Ngara na Bihalamuro zitoke Kagera ili mbaki wahaya peke yenu muwe mnapigana katerero vizuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila lugha yao wanayoongea ni kama wahaya sema wamebase sana kwenye urundi.
 
Mkoa wa Tchato hauna faida kwa mlala hoi kwa sasa.Tutafute njia zingine za kumuenzi shujaa wetu wa Afrika.
 
Kuundwa kwa mkoa mpya wa Chato hakuleti afya na mustakabali mwema wa taifa letu. Nahisi Baba wa Taifa akifufuka leo atatushangaa sana.
 
Mkuu mleta mada ulipoweka suala kwamba Magufuli aliwachukia wahaya ndio ulipoharibu kabisa ujumbe wako.

Mama yake JPM anayo asili ya hao wahaya na alipanga baada ya kustaafu aende kuishi Kagera. Uzi wako umepoteza maana baada ya kuandika kitu usichokijua.

Mimi ni mwenyeji wa Ngara na sio mhaya. Sio kila anayetoka Kagera ni mhaya.
Miminimeandika ninachokijua labda wewe ndo unajibu vitu usivyovijua

Mimi mwenyewe nina damu ya Kihangaza ndani yangu, lakini hii hainizuii kutambua kuwa Wahaya wamekuwa ni dominant katika huo mkoa na ndiyo Majority!

  • Sasa kwa akili zako ulidhani mimi sijui makabila madogomadogo yaliyoko Kagera?
  • Au kwa akili zako unadhani mimi naamini kwamba kuna mkoa wenye watu wa kabila moja tu ndani ya mipaka yake ya kiutawala?
  • Unadhani mimi sijui suala la wahaya, waziba,wanyambo, wahangaza, wasubi?
  • Unadhani mimi sijui koo ndogondogo za wahaya kama vile Warwani, Watundu etc?
Siku nyingine ukisoma mada, elewa wider context badala ya kuargue semantics
 
Magufuli alikuwa anachukia Wahaya kwa sababu tangu ujanani walikuwa wakimuita "Mushuti" - Yaani Mrundi

Alikuwa na chuki na Uhaya, tangu alipofanya figisu kuichomoa Chato kutoka katika mkoa wa Kagera ni muendelezo wake wa kutaka kujidistance kutoka katika influence na cultural dominance ya wahaya katika hiyo region.

Na chuki yake mliishuhudia baada ya tetemeko.

Samia aachane na idea hii ya Mkoa wa Chato, haina mantiki
Anna Kajumulo Tibaijuka ndiye ataumia zaidi maana ardhi yake maelfu ya ekali anazomiliki zitarudi kwenye mkoa mpya wa Chato! Huko hakuna anayemtetemekea kama nyie wahaya na "Ma Profesa mawe shumaramu" huko hawacheki na nyani na lazima ardhi ile igawiwe kwa wananchi!
Mkoa mpya wa ni kwa maendeleo ya watu na sio maendeleo ya wachumia tumbo wachache kama Tibaijuka!
CC: Missile of the Nation
 
Miminimeandika ninachokijua labda wewe ndo unajibu vitu usivyovijua

Mimi mwenyewe nina damu ya Kihangza ndani yangu, lakini hii hainizuii kutambua kuwa Wahaya wamekuwa ni dominant katika huo mkoa na ndiyo Majority!

  • Sasa kwa akili zako ulidhani mimi sijui makabila madogomadogo yaliyoko Kagera?
  • Au kwa akili zako unadhani mimi naamini kwamba kuna mkoa wenye kabila moja tu ndani ya mipaka yako ya kiutawala?
  • Unadhani mimi sijui suala la wahaya, waziba,wanyambo, wahangaza, wasubi?
  • Unadhani mimi sijui koo ndogondogo za wahaya kama vile Warwani, Watundu etc?
Siku nyingine ukisoma mada, elewa wider context badala ya kuargue semantics
Wider context ya uzi ni chuki tu. Kwamba anawachukia wahaya, ili iweje?. Unajenga taswira mbovu ili Hayati aonekane alikuwa mtu wa chuki.

Wakati utumishi wake haukuonyesha chuki. Alijenga barabara Tanzania yote, aliidhinisha pesa za kununulia ndege ili zitumiwe na watanzania wote. Viwanja vya ndege vimejengwa Tanzania yote.

Bandari zote zinaongezwa ukubwa. Unapojenga dhana kwamba aliwachukia wahaya unakuwa ukijaribu kumpa Hayati muonekano potofu. Aliyoyafanya hayakuwa na agenda ya chuki, kwanini awachukie wahaya?.

Hawezi kujitetea kwa sasa, sisi ambao bado tunapumua tunao wajibu wa kumtetea.
 
Chuki yake ilidhihirika kwenye tetemeko, na kauli za kejeli alizozitoa kwa wahaya kipindi cha tetemeko
 
Mpango wa awali ulio na mantiki ulikuwa ni huu:

Chukua wilaya za Kibondo, Kakonko, Biharamulo, Ngara na some part of Bukombe then tengeneza Mkoa. Hapo kati wangeangalia namna ya kutengeza wilaya mpya ya NYAKANAZI na labda makao makuu ya Mkoa mpya yawe hapo maana ndio katikati.

Fastforward tukampata mtu mmoja mbinafsi mno ambaye kwake yeye ubinafsi wake ulifunika logic zote. Yaani CHATO iwe mkoa? Yaani uitoe Kakonko huko Kigoma ikawe part ya mkoa wa Chato? Hiki ni zaidi ya kituko
 
Back
Top Bottom