Miminimeandika ninachokijua labda wewe ndo unajibu vitu usivyovijua
Mimi mwenyewe nina damu ya Kihangza ndani yangu, lakini hii hainizuii kutambua kuwa Wahaya wamekuwa ni dominant katika huo mkoa na ndiyo Majority!
- Sasa kwa akili zako ulidhani mimi sijui makabila madogomadogo yaliyoko Kagera?
- Au kwa akili zako unadhani mimi naamini kwamba kuna mkoa wenye kabila moja tu ndani ya mipaka yako ya kiutawala?
- Unadhani mimi sijui suala la wahaya, waziba,wanyambo, wahangaza, wasubi?
- Unadhani mimi sijui koo ndogondogo za wahaya kama vile Warwani, Watundu etc?
Siku nyingine ukisoma mada, elewa wider context badala ya kuargue semantics