🔹. Kuongeza uwakilishi – Wananchi wengi zaidi wanapata wawakilishi wa karibu wanaojua changamoto zao.
🔹. Kuhamasisha ushiriki wa wananchi – Inarahisisha wananchi kushiriki katika uchaguzi na masuala ya maendeleo.
🔹. Kusogeza huduma karibu – Majimbo mapya hurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii na maendeleo.
🔹. Kudhibiti ongezeko la watu – Husaidia kugawanya maeneo yaliyojaa watu kwa usawa wa uwakilishi.