Kuundwa kwa majimbo mapya ya uchaguzi ni kuboresha demokrasia na maendeleo ya kijamii

Irene17

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
42
Reaction score
116
πŸ”Ή. Kuongeza uwakilishi – Wananchi wengi zaidi wanapata wawakilishi wa karibu wanaojua changamoto zao.

πŸ”Ή. Kuhamasisha ushiriki wa wananchi – Inarahisisha wananchi kushiriki katika uchaguzi na masuala ya maendeleo.

πŸ”Ή. Kusogeza huduma karibu – Majimbo mapya hurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii na maendeleo.

πŸ”Ή. Kudhibiti ongezeko la watu – Husaidia kugawanya maeneo yaliyojaa watu kwa usawa wa uwakilishi.
 
kuipa serikali mizigo isiyo ya lazima.

wabunge ni consumers and exempted from some taxes(not sure)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…