Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,478
- Thread starter
- #41
Mkuu unaona kuna uwezekano wowote wa CCM kurudi kwa wenye nayo? yaani wakulima na wafanyakazi? Kwa sasa ni wazi kuwa CCM imeshikwa na mafisadi, na sio CCM ya JKN, sio CCM ya Karume. Unadhani Makongoro Nyerere can do that?
Kusema kweli i do not see him having a hint of ability to perform that miracle. Let us be honest to each other, two realistic candidates are Prof Mwandosya and Eddo, wapo wengine kama Jaji na former intel Chief.
At the moment, if I have to put a list of five, who have a realistic chance of winning the nomination, Mako won't make the cut. Lakini katika siasa za Tanzania, publicity and good fortune are better than experience and accomplishments.
Makongoro ana good fortune. Ni mtoto wa Nyerere. Akipata publicity nzuri anayo nafasi kubwa tu.
Kuhusiana na CCM, Kile ni chama cha watanzania. Wakati wa mfumo wa chama kimoja, tulilazimishwa kukijenga. Na bado kinatumia assets za taifa kuliko chama kingine.