Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,966
- 6,593
Wasalaam! Nawasalimu kwa mujibu wa Imani zetu na zenu
Modes mkipenda futeni tu huu uzi.
Hili suala la kuungua mara kwa mara shule za ndugu zetu Waislam lishakuwa hatari na huko tuendako linatishia usalama wa watanzania wote. (Kumbuka shule wanasoma watanzania wa itikadi na imani zote).
Kuna kitu kinaumiza sana akili ambacho naona kipo nyuma ya hili suala. Jambo la kusikitisha ni kwamba, kila viongozi wa Bakwata wanapotoa /anapotoaTamko lolote lile la kuegemea serikali lazima shule iingue, natoa mfano;
Wakati Shekhe wa mkoa Pendwa alipotoa tamko kwagongo wa kamati ya maadili ya dini kuhusu viongozi wote wa kidini kutoa tamko la kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa, tuliona shule kule Bukoba ikiungua na kuua watoto wasio na hatia 10. Serikali haikuchukulia uzito wala mkulu kusitisha kampeni kwa siku moja angalua kuonyesha masikitiko badala yake alisema ticha aachiwe huru.
Juzi baada ya shekhe wa mkoa uleule pendwa kutoa tamko la kuwakemea na kuwafunga mdomo wale wanaomsema kiongozi mpendwa kwenye mimbari na kuwakemea tumeona shule ya huko Tabora ikiwaka moto. Sijaona leo siku nzima serikali ikitoa tamko badala yake Polepole ameitisha press na kusema Lissu ni msukule akisindikizwa na NEC kumuita Lissu mahakami kule Dodoma kujibu mashtaka ya NEC.
Jambo hili linahusu waislam wenyewe. Wasipokaa chini watatuangamiza sisi wote na watoto wetu. Naomba BAKWATA na makundi wengine wakae chini waachane na siasa na kujenga amani kwenye taasisi zao na kuinusuru nchi. Pia mamlaka ndani ya Waislam wamuonye shekhe wa mkoa pendwa aache siasa afundishe dini. Bila hivyo kila siku haya yatakuwepo na hakuna atakayepona.
Wasalaam Usiku mwema. Yanga Imara.