Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Hata mi sielewi!
We mkulima lazima uelewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mi sielewi!
Yano haya Maviongozi ya dini yanayoweka matumbo yao mbele ni shidaa tuuuYuko busy na chamaView attachment 1583028
Basi tuwe wapole tuone hatma yake mimi na wewe ni watazamaji tu.Zingekua zinaungua za upande ule ingesemwa ni upande huu
Hakika kiongozi ujue hii hali jinsi inavyoendelea inaendelea kuleta taharuki.Inaumiza sana ndugu. Nawazano mpaka nachoka
Hivi hili neno huwa lina maana gani ?Wasalaam!
Huo ni upuuzi mkubwa Sana kama kuna wajinga wanaamua kuua watoto wasio na hatia na wala hawajui lolote kuhusu uamshoSuala la Mashekhe wa uamsho liangaliwe kwa jicho la nne.
Pamoja na hayo nadhani serikali haichukulii umuhimu hili swala la shule za kiislamu kuungua, tangu shule mbili za Mwanzo zilipoungua walitakiwa waanze uchunguzi.Huenda hata serikali ishaanza kulifanyia kazi na ndiyo maana raisi akiwa kagera aliagiza mkuu wa shule iliyoungua kagera aachiwe, uchunguze uendelee. Haiwezekani shule ziwe zinaungua randomly kila baada ya wiki kadhaa.
Nina imani itabainika nini kiko nyuma ya hii kitu
Hakuna anayefuatilia zaidi ya kusubiri kwenda kutoa poleHivi kuna anaefuatilia hili? Au kila mmoja 'anajua' kinachoendelea na kuacha hali kama ilivyo?
Na muhusika angekwisha julikana na kuchukuliwa hatua mapema mno.Zingekua zinaungua za upande ule ingesemwa ni upande huu