Kuungwa mkono kwa Nchimbi na wapinzani ni mkanganyiko mtupu wa harakati.

Kuungwa mkono kwa Nchimbi na wapinzani ni mkanganyiko mtupu wa harakati.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kuibuka kwa kundi la wanaharakati na wadai mabadiliko wanaompigia debe Makamu wa Rais Nchimbi kwa kauli moja au mbili alizozisema walizozipenda kunaonyesha jinsi gani Tanzania ina safari ndefu ya kuleta mabadiliko.

Mambo kama haya yanafifisha sana harakati za mabadiliko nchini, yanaonyesha watu wanawataka tu watu fulani ila hawana shida na mfumo mzima. Ni bora basi huyo wanayemtaka ndani ya mfumo angekuwa hata na historia ya maana ya kueleweka.
 
Back
Top Bottom