Kuuza lango la uchumi wa nchi ni usaliti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi, Bandari ni mali za Watanzania wote

hakuna mkataba mzuri kama huu,yaani njia zote za ulaji sasa kwisha.
Wanaopiga makelele kuwa mkataba ni mbovu ni sawa na majibwa koko.
Ila walanguaji na wahujumu uchumi tukubali tu wameshikwa pabaya.
Hasa kanisa ndo limechanganyikiwa kabisa
 
Kwa nini hapakuwepo na ushindani kwa jambo kubwa kama hili.
 
Ina maana CHADEMA wamewazidi CCM kueneza ukweli?[emoji419][emoji375]
 
DP World wamelipa bei gani kununua Hilo lango kuu la uchumi? Nipatie jibu niulize swali jingine
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=kGWQzWAcZCE
 
TEC ni Waislam, au siyo?

Siyo "wakristo", sema wakatoliki.
Shura ya Maimamu Tanzania. waliopinga mkataba wa DPW na kushauri ikiwezekana urekebishwe kabla ya kuanza nao ni Wakristo.

Tunapinga kwa nguvu zote kampuni moja kumilikishwa Bandari za Tanganyika zote milele.

Haijalishi hiyo kampuni anatokea nchi gani.
Kuongelea Udini ni kuishiwa hoja.


Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…