KERO Kuuziwa bites ndani ya treni ya SGR ndio utaratibu mpya au wafanyakazi wameanza hujuma?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hii SGR ikiendelea kuendeshwa na hawa wenzetu walio serikalini na hawajawahi hata kuuza karanga itakufa kifo cha kawaida na UDART. Wafanyakazi wa umma hawana nidhamu wala uzalendo. Mama aibinafsishe haraka kwa makampuni yanayoweza hiyo biashara. Na hiyo kampuni isiwe ya wazawa.
Akibinafisisha mtaongea tena
Kuongoza mtu mweusi ni kazi sana
 
Wewe kama unaona sawa unafunga tu mdomo na kupita kimya kimya Mkuu. Kama huduma unayolipia inajumuisha package fulani, uko entitled kupata kila kitu, nothing less. Hata sh 10 haitakiwi kuhujumiwa.

Tunashindwa kudemand unachostahili kwenye jambo dogo hivi, kwa mafisadi si kazi ipo🤦
Hilo laweza kuwa ni nufaika la huo ubaradhuli.
Lipo mkupiga kampeni za kifisadi tu hapa!
 
wakuu wikiendi inaenda?

Nakumbuka ilitoka list ya vitu unavyoruhusiwa kubeba na kuingia navyo ndani ya SGR, pamoja na vile ambavyo ukiingia unavikuta, yaani viburudisho.

Sasa kwanini tunalipishwa bites ambazo zinatakiwa kutolewa bure? Utaratibu umebadilika kuwa viburudisho ndani ya SGR vinauzwa?

Nilikuwa na safari ya Morogoro majuzi nikiwa na baadhi ya marafiki, tulikiwa tumetawanyika, baadhi yetu tuliuziwa bites wengine walipewa bure, ila wakati wa kurudi itakuwa wote tulihudumiwa na mhudumu mmoja maana wote tuliuzowa bites hizo.

Soma Pia: Utendaji wa Train ya SGR uboreshwe

Kwa pakiti moja ni elf 3,000 kama hulipii basi unarukwa! Sasa huduma ni ya bure ukishaingia kwenye tren kwanini tunauziwa tena?

Na tena ni Bussiness Class🤦🤦! Kazi kwekweli, kila mtu anajaribu kula kwa urefu wa kamba yake kila alipo, tutafika kweli!
Nijuavyo mimi huwa kila ofisi huwa na meneja je katika safari hiyo mwisho wake uliweza kuongea na meneja wa hicho kituo kumuuliza haya?

Accountability ndio kitu kimewashinda watanzania
 
wakuu wikiendi inaenda?

Nakumbuka ilitoka list ya vitu unavyoruhusiwa kubeba na kuingia navyo ndani ya SGR, pamoja na vile ambavyo ukiingia unavikuta, yaani viburudisho.

Sasa kwanini tunalipishwa bites ambazo zinatakiwa kutolewa bure? Utaratibu umebadilika kuwa viburudisho ndani ya SGR vinauzwa?

Nilikuwa na safari ya Morogoro majuzi nikiwa na baadhi ya marafiki, tulikiwa tumetawanyika, baadhi yetu tuliuziwa bites wengine walipewa bure, ila wakati wa kurudi itakuwa wote tulihudumiwa na mhudumu mmoja maana wote tuliuzowa bites hizo.

Soma Pia: Utendaji wa Train ya SGR uboreshwe

Kwa pakiti moja ni elf 3,000 kama hulipii basi unarukwa! Sasa huduma ni ya bure ukishaingia kwenye tren kwanini tunauziwa tena?

Na tena ni Bussiness Class🤦🤦! Kazi kwekweli, kila mtu anajaribu kula kwa urefu wa kamba yake kila alipo, tutafika kweli!
Nadhani kwenye malalamiko tungeweka zaidi ya ile huduma yenyewe ya usafiri, ili tusikilizwe na kutatuliwa kwa haraka na huduma ya usafiri kuimarika.

Lakini, tukianza kuchanganya na malalamiko ya kuuziwa maandazi na sambusa badala ya kupewa bure, tunaweza kuonekana tuna hila.

Labda, kwa wakati huu ambao TRC wanataka sana maoni/ malalamiko yetu ili kuboresha usafiri huu mpya, tujikite kwenye zile shida za msingi.

Ova
 
Masanja Kadogosa weka msemaji wa shirika awe anatoa ufafanuzi wa kila huduma kwenye SGR.
Watanzania tuna maswali mengi yanayohitaji majibu ya Shirika.
 
Watanzania wacheni kulalamika katika kila jambo dogo AISEE.
Hadi bites mnalalamikia!!???
Wacheni kujiendekeza banaa badilikeni.
Mzee, siku ukilipa 10k kununua luku wakakuletea unit 8 badala ya 28, utalalamika au hautalalamika..??
 
Wewe kama unaona sawa unafunga tu mdomo na kupita kimya kimya Mkuu. Kama huduma unayolipia inajumuisha package fulani, uko entitled kupata kila kitu, nothing less. Hata sh 10 haitakiwi kuhujumiwa.

Tunashindwa kudemand unachostahili kwenye jambo dogo hivi, kwa mafisadi si kazi ipo🤦

je walikuandikia kwenye ticket yako kwamba unastahili kupata bites bure?
 
Hizi train sijui kama zitamaliza mwaka.Maana hazijamaliza hata mwezi lakini changamoto lukuki.tiketi shida,mara msimame njiani sababu ya umeme
 
Treni za umeme za majuu pia zina huduma za kulipia bites na meal ni kama Mambo ya fast jet.

Kwa experience yangu treni nilizopanda nje ya Tanzania Hakunaga mambo ya free meal kwenye train nyingi. Vyakula huwa wanauza.
Wabongo unaweza kuwauzia kitu kwa bei chini ya operational cost, kwa government subsidy, halafu pia bado wakalalamika.
 
wakuu wikiendi inaenda?

Nakumbuka ilitoka list ya vitu unavyoruhusiwa kubeba na kuingia navyo ndani ya SGR, pamoja na vile ambavyo ukiingia unavikuta, yaani viburudisho.

Sasa kwanini tunalipishwa bites ambazo zinatakiwa kutolewa bure? Utaratibu umebadilika kuwa viburudisho ndani ya SGR vinauzwa?

Nilikuwa na safari ya Morogoro majuzi nikiwa na baadhi ya marafiki, tulikiwa tumetawanyika, baadhi yetu tuliuziwa bites wengine walipewa bure, ila wakati wa kurudi itakuwa wote tulihudumiwa na mhudumu mmoja maana wote tuliuzowa bites hizo.

Soma Pia: Utendaji wa Train ya SGR uboreshwe

Kwa pakiti moja ni elf 3,000 kama hulipii basi unarukwa! Sasa huduma ni ya bure ukishaingia kwenye tren kwanini tunauziwa tena?

Na tena ni Bussiness Class🤦🤦! Kazi kwekweli, kila mtu anajaribu kula kwa urefu wa kamba yake kila alipo, tutafika kweli!
Muwe makini sana na hivyo vyakula mnavyoletewa au kuuziwa humo kwenye treni, muwe waangalifu.

Possibly, it's "Another Game of Russian Roulette."
 
Umenikumbusha nilikosa korosho ndani ya Air Tanzania (Dom-Dar). Waligawa korosho na ziliishia kwa watu waliokaa seats za mbele yetu nikadhani wataenda waongeze zingine, ikawa ndio nitolee hiyo.
 
Back
Top Bottom