Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Tatizo lako haujawahi kusafiri hata kwa basi, mbona kwenye basi wanatoa bure, safiri uone.😀😀😀 nauli 13,000 na bites pia unataka bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lako haujawahi kusafiri hata kwa basi, mbona kwenye basi wanatoa bure, safiri uone.😀😀😀 nauli 13,000 na bites pia unataka bure
Sawa asante......ni kweliPole ya kufungwa! Chukulia ni upepo tu
Nilidhani unazungumzia software yaani mb za internet kumbe unaongelea hardware za kutafuna!wakuu wikiendi inaenda?
Nakumbuka ilitoka list ya vitu unavyoruhusiwa kubeba na kuingia navyo ndani ya SGR, pamoja na vile ambavyo ukiingia unavikuta, yaani viburudisho.
Sasa kwanini tunalipishwa bites ambazo zinatakiwa kutolewa bure? Utaratibu umebadilika kuwa viburudisho ndani ya SGR vinauzwa?
Nilikuwa na safari ya Morogoro majuzi nikiwa na baadhi ya marafiki, tulikiwa tumetawanyika, baadhi yetu tuliuziwa bites wengine walipewa bure, ila wakati wa kurudi itakuwa wote tulihudumiwa na mhudumu mmoja maana wote tuliuzowa bites hizo.
Soma Pia: Utendaji wa Train ya SGR uboreshwe
Kwa pakiti moja ni elf 3,000 kama hulipii basi unarukwa! Sasa huduma ni ya bure ukishaingia kwenye tren kwanini tunauziwa tena?
Na tena ni Bussiness Class🤦🤦! Kazi kwekweli, kila mtu anajaribu kula kwa urefu wa kamba yake kila alipo, tutafika kweli!