KERO Kuuziwa bites ndani ya treni ya SGR ndio utaratibu mpya au wafanyakazi wameanza hujuma?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Watanzania bhana,yaani, kila mara ni kutafuta kitu cha kukosoa tu. Bites kitu gani kwa safari ya 1.5hr? Si uache tu kwani lazima?
 
Safari ya saa 3 unataka free bites? Acha kupenda dezo aisee
 
Nilidhani unazungumzia software yaani mb za internet kumbe unaongelea hardware za kutafuna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…