zugazuga na mimi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 241
- 77
🙁🙁🙁Na hiyo ndo raha yake
Raha ya dera shuťiii unyanyue kidogo mbele
Tukate ili liwe gauni?
HahahahahaEbu tuondolee hawa mkuu weka wanawake waliovaa madela hawa wamevaa kanzu. Labda anayefua tu.
[emoji2]Na hiyo ndo raha yake
Raha ya dera shuťiii unyanyue kidogo mbele
Tukate ili liwe gauni?
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Ili chura aonekane kwa mbali...
Ndio yale yale ya kuhangaika kubeba gunia la kilo 100 wakati tunaweza kurahisisha mambo kwa kuwa na gunia la kilo 50.Habari zenu wadau wa JF.!
Kuna hii tabia imezuka mda sana kwa dada zetu hawa. Hii tabia inakera sana aisee ni nn kuvaa hayo madela kisha kuyashika na kuyanyenyua juu mpaka ngozi nyeupe inaonekana?
Mnatupa tabu kweli sisi wanaume, halafu kuna ile staili ya kulibana kwenye nguo ya ndani ni nn hasa mnatafuta.
Hii tabu yote mnayopata kwann msiyakate ili yasiwape tabu namna hiyo.
Karibu
Afu huyo chura akianza kuruka ruka ... JOTO lapanda hadi nyuzi 360Ili chura aonekane kwa mbali...
Napenda wadada wanaovaa dela alafu kanyanyua mbele sijui nimerogwaNjoo pm unionyeshe wanavyo yabana kwenye chupi
Huwa wananiboa sana wanaoyachomekea kwakweluBora anayenyanyua kwa mbele kuliko anayechomekea ndani ya chupi asee
Chura au kichura
Chura kama huyu?Sasa Dela bila Chura, sawa sawa na kujifunika Shuka...
Eewalaah..Chura kama huyu?