Kuvaa Dera sio kazi, kazi kulishikilia

Kuvaa Dera sio kazi, kazi kulishikilia

FB_IMG_1513707366309.jpg
 
Habari zenu wadau wa JF.!

Kuna hii tabia imezuka mda sana kwa dada zetu hawa. Hii tabia inakera sana aisee ni nn kuvaa hayo madela kisha kuyashika na kuyanyenyua juu mpaka ngozi nyeupe inaonekana?

Mnatupa tabu kweli sisi wanaume, halafu kuna ile staili ya kulibana kwenye nguo ya ndani ni nn hasa mnatafuta.

Hii tabu yote mnayopata kwann msiyakate ili yasiwape tabu namna hiyo.

Karibu
Ndio yale yale ya kuhangaika kubeba gunia la kilo 100 wakati tunaweza kurahisisha mambo kwa kuwa na gunia la kilo 50.
Hatutumii akili zetu ipasavyo.
 
Sasa Dela bila Chura, sawa sawa na kujifunika Shuka...
 
Back
Top Bottom