Kuvaa Hijab ni dini au udhaifu wa wanaume?

Wewe mwerevu tunga za kwako watu wazifuate simple tu kwani lazima kuingilia sheria zisizo kuhusu
Sio tunga za kwako, acheni kuuwa watu kwa kisingizio cha kumpigania Allah.
Watu wanapoteza maisha kwa roho zenu mbaya.
Mnathaminije mitambala kuliko ubinadamu wa mtu.
Watu wamechoka na unyanyasaji wenu.
 
Umeyaona hayo tu serikali yako ina vunja sheria iliyo weka yenyewe ndio maana haijui leo vifo vya ajabu vinavyo sababishwa na polisi huvioni ila wengine ndio unawatafutia hoja ila kwa kukusaidia tu sheria ya kuuliwa katika DINI iko kwa watu aina tatu 1 alie ua auwawe
2 alie oa mzinifu
3 alie ritadi hivyo usinasibishe kila anae ua anatumia DINI dunia ya sasa siasa ndio inatumika kuchafua DINI unapaswa usome ili utenganisha anae nasibisha dini na aliye kwenye dini muongozo tu huo kama utazingatia itakusaidia
 
Sheria za kijinga hizo.
Kwani ukikiona kichwa cha mwanamke unajisikiaje ?

Wewe kama wewe, habu tupe uzoefu wako.
Anatangaza udhaifu wake uliopita ule wa beberu, maana pamoja na mbuzi uchi uko nje nje lakini beberu hampandi hovyo kwa kuuangalia kwa macho, bali hadi pale jike atakapokuwa kwenye heat kutaka kuzaa
 
Umeyaona hayo tu serikali yako ina vunja sheria iliyo weka yenyewe ndio maana haijui leo vifo vya ajabu vinavyo sababishwa na polisi huvioni ila wengine ndio unawatafutia hoja ila kwa kukusaidia tu sheria ya kuuliwa katika DINI iko kwa watu aina tatu 1 alie ua auwawe
2 alie oa mzinifu
3 alie ritadi hivyo usinasibishe kila anae ua anatumia DINI dunia ya sasa siasa ndio inatumika kuchafua DINI unapaswa usome ili utenganisha anae nasibisha dini na aliye kwenye dini muongozo tu huo kama utazingatia itakusaidia
Mungu kamkabidhi nani jukumu la kuhukumu wanaomkosea? Kazi IPO, sio utani. Ndio maana Mtume Mohamed aliwaambia wattu wake waitafute elimu hata kama ikibidi uchina kwenye watu wnaokula nyoka, mbwa na nguruwe. Hii ni kuonyesha kuwa Mohamed SWA hakuwa na shida na watu wenye dini yoyote na wasiokuwa na dini yoyote.

Kusema ukweli mavazi haya ya waarabu hata Mtume aliyakuta yakivaliwa na watu wote bila kujali ni mlevi au kahaba au mcha Mungu Wala jambazi Wala mzinzi,
 
Waambieni waumini wenu kuwa

1. Mungu Hana haia na sisi ila sisi tuna haha na yeye.
2. Mungu hahitaji ufanye mengi zaidi ya kumshukuru kwa kila jambo,
3. Mungu yupo kila sehemu hata chooni. Sio kweli kuwa chooni yanakaa mashetani. Sio kweli siokweli, mavi na mikojo ni muhimu sana kwa mimea ili kumea tena. Mavi ni mali.
4. Kuacha kumtendea jirani mambo Yale usiyotaka akutendee ni ucha Mungu mkubwa kuliko hijab na kuswali.
5. Mungu Hana dini yake ila watu Wana dini zao,
 
Marekani anazidi kuwachokonoa waislamu , huku anampelekea Moto Putin , Irani naye yupo under hot soups, [emoji16][emoji16][emoji16] badae atamfinish North Korea kiulaiiiiiiiiiiiiini
Maandamano ya France German huko london vipi
 
Mungu kamkabidhi nani jukumu la kuhukumu wanaomkosea? Kazi IPO, sio utani. Ndio maana Mtume Mohamed aliwaambia wattu wake waitafute elimu hata kama ikibidi uchina kwenye watu wnaokula nyoka, mbwa na nguruwe. Hii ni kuonyesha kuwa Mohamed SWA hakuwa na shida na watu wenye dini yoyote na wasiokuwa na dini yoyote.

Kusema ukweli mavazi haya ya waarabu hata Mtume aliyakuta yakivaliwa na watu wote bila kujali ni mlevi au kahaba au mcha Mungu Wala jambazi Wala mzinzi,
Inaonesha namna ulivyo mjinga kwenye historia ya waarabu wala elimu ya Dini ya kiislamu hata basic huna
 
Unamtaka MwenyeziMungu au Mwarabu? Mungu sio mwarabu na hakuna mtu aliyewahi kuwepo hapa duniani ambae hakuwa na dini inayomuunganisha na Mungu.
 
Kwahiyo unataka kuaminisha watu kuwa mtu wa kwanza kuvaa kanzu, balaghashia na kilemba ni Mtume Mohamed S.W.A?
Hapo mara zote ndipo mnapo jichanganya aya niambie huu uzi umehusisha kanzu na vilemba

Ndio maana nimekutakia wakati mwema kwa kua hujui hata makusudio ya mambo
 
Kwahiyo unataka kuaminisha watu kuwa mtu wa kwanza kuvaa kanzu, balaghashia na kilemba ni Mtume Mohamed S.W.A?
Mleta mada ni kafiri ambae hataki kuelewa mafundisho ya Uislamu yy kakazania ubishi tuu

Nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu
 
Back
Top Bottom