Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Sio tunga za kwako, acheni kuuwa watu kwa kisingizio cha kumpigania Allah.Wewe mwerevu tunga za kwako watu wazifuate simple tu kwani lazima kuingilia sheria zisizo kuhusu
Umeyaona hayo tu serikali yako ina vunja sheria iliyo weka yenyewe ndio maana haijui leo vifo vya ajabu vinavyo sababishwa na polisi huvioni ila wengine ndio unawatafutia hoja ila kwa kukusaidia tu sheria ya kuuliwa katika DINI iko kwa watu aina tatu 1 alie ua auwaweSio tunga za kwako, acheni kuuwa watu kwa kisingizio cha kumpigania Allah.
Watu wanapoteza maisha kwa roho zenu mbaya.
Mnathaminije mitambala kuliko ubinadamu wa mtu.
Watu wamechoka na unyanyasaji wenu.
Anatangaza udhaifu wake uliopita ule wa beberu, maana pamoja na mbuzi uchi uko nje nje lakini beberu hampandi hovyo kwa kuuangalia kwa macho, bali hadi pale jike atakapokuwa kwenye heat kutaka kuzaaSheria za kijinga hizo.
Kwani ukikiona kichwa cha mwanamke unajisikiaje ?
Wewe kama wewe, habu tupe uzoefu wako.
Mungu kamkabidhi nani jukumu la kuhukumu wanaomkosea? Kazi IPO, sio utani. Ndio maana Mtume Mohamed aliwaambia wattu wake waitafute elimu hata kama ikibidi uchina kwenye watu wnaokula nyoka, mbwa na nguruwe. Hii ni kuonyesha kuwa Mohamed SWA hakuwa na shida na watu wenye dini yoyote na wasiokuwa na dini yoyote.Umeyaona hayo tu serikali yako ina vunja sheria iliyo weka yenyewe ndio maana haijui leo vifo vya ajabu vinavyo sababishwa na polisi huvioni ila wengine ndio unawatafutia hoja ila kwa kukusaidia tu sheria ya kuuliwa katika DINI iko kwa watu aina tatu 1 alie ua auwawe
2 alie oa mzinifu
3 alie ritadi hivyo usinasibishe kila anae ua anatumia DINI dunia ya sasa siasa ndio inatumika kuchafua DINI unapaswa usome ili utenganisha anae nasibisha dini na aliye kwenye dini muongozo tu huo kama utazingatia itakusaidia
East of course. They live the life they don't want.Angalia wanawake wa east na west, wapi wako miserable?
Maandamano ya France German huko london vipiMarekani anazidi kuwachokonoa waislamu , huku anampelekea Moto Putin , Irani naye yupo under hot soups, [emoji16][emoji16][emoji16] badae atamfinish North Korea kiulaiiiiiiiiiiiiini
Inaonesha namna ulivyo mjinga kwenye historia ya waarabu wala elimu ya Dini ya kiislamu hata basic hunaMungu kamkabidhi nani jukumu la kuhukumu wanaomkosea? Kazi IPO, sio utani. Ndio maana Mtume Mohamed aliwaambia wattu wake waitafute elimu hata kama ikibidi uchina kwenye watu wnaokula nyoka, mbwa na nguruwe. Hii ni kuonyesha kuwa Mohamed SWA hakuwa na shida na watu wenye dini yoyote na wasiokuwa na dini yoyote.
Kusema ukweli mavazi haya ya waarabu hata Mtume aliyakuta yakivaliwa na watu wote bila kujali ni mlevi au kahaba au mcha Mungu Wala jambazi Wala mzinzi,
Unamtaka MwenyeziMungu au Mwarabu? Mungu sio mwarabu na hakuna mtu aliyewahi kuwepo hapa duniani ambae hakuwa na dini inayomuunganisha na Mungu.Inaonesha namna ulivyo mjinga kwenye historia ya waarabu wala elimu ya Dini ya kiislamu hata basic huna
Hujui kwanini umejibiwa hivi nikutakie wakati mwemaUnamtaka MwenyeziMungu au Mwarabu? Mungu sio mwarabu na hakuna mtu aliyewahi kuwepo hapa duniani ambae hakuwa na dini inayomuunganisha na Mungu.
Hapo mara zote ndipo mnapo jichanganya aya niambie huu uzi umehusisha kanzu na vilembaKwahiyo unataka kuaminisha watu kuwa mtu wa kwanza kuvaa kanzu, balaghashia na kilemba ni Mtume Mohamed S.W.A?
Mleta mada ni kafiri ambae hataki kuelewa mafundisho ya Uislamu yy kakazania ubishi tuuKwahiyo unataka kuaminisha watu kuwa mtu wa kwanza kuvaa kanzu, balaghashia na kilemba ni Mtume Mohamed S.W.A?