Kuvaa nguo zenye nembo ya CHADEMA siyo lazima uwe mwanachadema

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Kuna watu wanahangaika sana kuwavalisha watu wanaowatumia kuishambulia CHADEMA kwa kuwavalisha nguo zenye nembo ya CHADEMA ili kuthibitisha "uchadema" wao.

Mtu kuzungumza kama mwanachadema kuko kikatiba kwa kufuata Katiba ya CHADEMA na siyo kwa kuvaa nguo yenye nembo ya CHADEMA.

Maana ili uwe mwanachadema ni lazima uwe na Kadi ya CHADEMA, uwe na msingi, tawi, Kata, Jimbo, mkoa na Kanda inayokutambua.

Ukisema unaongea kama kiongozi ni lazima unayoyaongea yatokane na vikao vya CHADEMA na wewe uwe na hadhi, madaraka na mamlaka ya kuyasema uyasemayo kwa niaba ya ngazi ya chama uliyomo.

Acheni ushamba wa kudhani hizo nguo zenye nembo ya CHADEMA ndizo zinahalalisha uchadema wa mtu.

Mtu anaweza kujitambulisha yeye ni mwanachadema ama ni kiongozi wa CHADEMA lakini Katiba ya CHADEMA IKAMTAA.
 
Ni mapenzi Tu na zile colouring za vitambaa ziko poa
 
Kwa mantiki hiyo vijana wengi wa Tours basi ni CDM.
images (2).jpeg
images (1).jpeg
 
Kuna watu wanahangaika sana kuwavalisha watu wanaowatumia kuishambulia CHADEMA kwa kuwavalisha nguo zenye nembo ya CHADEMA ili kuthibitisha "uchadema" wao.

Mtu kuzungumza kama mwanachadema kuko kikatiba kwa kufuata Katiba ya CHADEMA na siyo kwa kuvaa nguo yenye nembo ya CHADEMA.

Maana ili uwe mwanachadema ni lazima uwe na Kadi ya CHADEMA, uwe na msingi, tawi, Kata, Jimbo, mkoa na Kanda inayokutambua.

Ukisema unaongea kama kiongozi ni lazima unayoyaongea yatokane na vikao vya CHADEMA na wewe uwe na hadhi, madaraka na mamlaka ya kuyasema uyasemayo kwa niaba ya ngazi ya chama uliyomo.

Acheni ushamba wa kudhani hizo nguo zenye nembo ya CHADEMA ndizo zinahalalisha uchadema wa mtu.

Mtu anaweza kujitambulisha yeye ni mwanachadema ama ni kiongozi wa CHADEMA lakini Katiba ya CHADEMA IKAMTAA.
Wanatumia script za zamani wakati season ni mpya.

Ila nasema kila siku mpira wa Tanzania ndiyo unatumika kutest mambo halafu yanaletwa kwenye siasa. Kule kwenye mpira kumekuwa na wimbi la kuvalisha watu jezi fulani halafu wanaibagaza timu hiyo hiyo.

Baada ya kutuzoesha huko, sasa wameyaleta kwenye siasa ila ni kwa ajili ya kuwashambulia wapinzani tu, maana ukiyafanya kule kwingine wanakuchana matako au kukupoteza kabisa.
 
Kuna watu wanahangaika sana kuwavalisha watu wanaowatumia kuishambulia CHADEMA kwa kuwavalisha nguo zenye nembo ya CHADEMA ili kuthibitisha "uchadema" wao.

Mtu kuzungumza kama mwanachadema kuko kikatiba kwa kufuata Katiba ya CHADEMA na siyo kwa kuvaa nguo yenye nembo ya CHADEMA.

Maana ili uwe mwanachadema ni lazima uwe na Kadi ya CHADEMA, uwe na msingi, tawi, Kata, Jimbo, mkoa na Kanda inayokutambua.

Ukisema unaongea kama kiongozi ni lazima unayoyaongea yatokane na vikao vya CHADEMA na wewe uwe na hadhi, madaraka na mamlaka ya kuyasema uyasemayo kwa niaba ya ngazi ya chama uliyomo.

Acheni ushamba wa kudhani hizo nguo zenye nembo ya CHADEMA ndizo zinahalalisha uchadema wa mtu.

Mtu anaweza kujitambulisha yeye ni mwanachadema ama ni kiongozi wa CHADEMA lakini Katiba ya CHADEMA IKAMTAA.
Nitazipata wapi nembo kama tano,nijue na bei tafadhali!7
 
Script zinatengenezwa na mazuzu kina Tilahtilah unategemea cha maana? Mtu kavaa t-shirt ya CDM halafu anaongea agenda za CCM na tume ya Jaji Chande?
 
Kuna watu wanahangaika sana kuwavalisha watu wanaowatumia kuishambulia CHADEMA kwa kuwavalisha nguo zenye nembo ya CHADEMA ili kuthibitisha "uchadema" wao.

Mtu kuzungumza kama mwanachadema kuko kikatiba kwa kufuata Katiba ya CHADEMA na siyo kwa kuvaa nguo yenye nembo ya CHADEMA.

Maana ili uwe mwanachadema ni lazima uwe na Kadi ya CHADEMA, uwe na msingi, tawi, Kata, Jimbo, mkoa na Kanda inayokutambua.

Ukisema unaongea kama kiongozi ni lazima unayoyaongea yatokane na vikao vya CHADEMA na wewe uwe na hadhi, madaraka na mamlaka ya kuyasema uyasemayo kwa niaba ya ngazi ya chama uliyomo.

Acheni ushamba wa kudhani hizo nguo zenye nembo ya CHADEMA ndizo zinahalalisha uchadema wa mtu.

Mtu anaweza kujitambulisha yeye ni mwanachadema ama ni kiongozi wa CHADEMA lakini Katiba ya CHADEMA IKAMTAA.
Uwezo wao wa kufikiria ndio umeishia hapo—wanafikiri uCHADEMA ni vazi.
 
Mimi nawalaumu sana viongozi wa Chadema tangu polisi walivyovunja duka la mfanyabiashara aliyekuwa anauza vifaa vya Chadema na kupora vifaa hivyo hawakufuatilia sasa vifaa hivyo ndiyo vinatumiwa kuihujumu Chadema.
 
Tatizo aliyevunjiwa inawezekana aliogopa kupambana na walioiba... Si anawajua🥺
 
Watu wa mbuga za wanyama (uhifadhi) sio watu wa tours ni sekta mbili tofauti. What's your point dude?
Je hizo zina nembo ya Chadema, hata yanga wana jezi rangi ya mbogamboga tofauti za yanga zina nembo ya mfadhili na mboga mboga wana nembo ya jembe na nyundo(sijui vizuri nembo sababu hawanihusu)
 
Nembo ndiyo msingi wa utambulisho.
 
Back
Top Bottom