Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Ni mapenzi Tu na zile colouring za vitambaa ziko poaKuna watu wanahangaika sana kuwavalisha watu wanaowatumia kuishambulia CHADEMA kwa kuwavalisha nguo zenye nembo ya CHADEMA ili kuthibitisha "uchadema" wao.
Mtu kuzungumza kama mwanachadema kuko kikatiba kwa kufuata Katiba ya CHADEMA na siyo kwa kuvaa nguo yenye nembo ya CHADEMA.
Maana ili uwe mwanachadema ni lazima uwe na Kadi ya CHADEMA, uwe na msingi, tawi, Kata, Jimbo, mkoa na Kanda inayokutambua.
Ukisema unaongea kama kiongozi ni lazima unayoyaongea yatokane na vikao vya CHADEMA na wewe uwe na hadhi, madaraka na mamlaka ya kuyasema uyasemayo kwa niaba ya ngazi ya chama uliyomo.
Acheni ushamba wa kudhani hizo nguo zenye nembo ya CHADEMA ndizo zinahalalisha uchadema wa mtu.
Mtu anaweza kujitambulisha yeye ni mwanachadema ama ni kiongozi wa CHADEMA lakini Katiba ya CHADEMA IKAMTAA.
Kumbe huelewi ni kwa nini Hamis Kigwangala alipokuwa waziri wa maliasili alilazimisha watu wa mbuga za wanyama kubadili nguo zao na kuvaa nguo za kijani.Kwa mantiki hiyo vijana wengi wa Tours basi ni CDM.
Watu wa mbuga za wanyama (uhifadhi) sio watu wa tours ni sekta mbili tofauti. What's your point dude?Kumbe huelewi ni kwa nini Hamis Kigwangala alipokuwa waziri wa maliasili alilazimisha watu wa mbuga za wanyama kubadili nguo zao na kuvaa nguo za kijani.
HahahaKwa mantiki hiyo vijana wengi wa Tours basi ni CDM.View attachment 3659878View attachment 3659879
Nimejazilizia alichoongea.Watu wa mbuga za wanyama (uhifadhi) sio watu wa tours ni sekta mbili tofauti. What's your point dude?
Wanatumia script za zamani wakati season ni mpya.Kuna watu wanahangaika sana kuwavalisha watu wanaowatumia kuishambulia CHADEMA kwa kuwavalisha nguo zenye nembo ya CHADEMA ili kuthibitisha "uchadema" wao.
Mtu kuzungumza kama mwanachadema kuko kikatiba kwa kufuata Katiba ya CHADEMA na siyo kwa kuvaa nguo yenye nembo ya CHADEMA.
Maana ili uwe mwanachadema ni lazima uwe na Kadi ya CHADEMA, uwe na msingi, tawi, Kata, Jimbo, mkoa na Kanda inayokutambua.
Ukisema unaongea kama kiongozi ni lazima unayoyaongea yatokane na vikao vya CHADEMA na wewe uwe na hadhi, madaraka na mamlaka ya kuyasema uyasemayo kwa niaba ya ngazi ya chama uliyomo.
Acheni ushamba wa kudhani hizo nguo zenye nembo ya CHADEMA ndizo zinahalalisha uchadema wa mtu.
Mtu anaweza kujitambulisha yeye ni mwanachadema ama ni kiongozi wa CHADEMA lakini Katiba ya CHADEMA IKAMTAA.
Nitazipata wapi nembo kama tano,nijue na bei tafadhali!7Kuna watu wanahangaika sana kuwavalisha watu wanaowatumia kuishambulia CHADEMA kwa kuwavalisha nguo zenye nembo ya CHADEMA ili kuthibitisha "uchadema" wao.
Mtu kuzungumza kama mwanachadema kuko kikatiba kwa kufuata Katiba ya CHADEMA na siyo kwa kuvaa nguo yenye nembo ya CHADEMA.
Maana ili uwe mwanachadema ni lazima uwe na Kadi ya CHADEMA, uwe na msingi, tawi, Kata, Jimbo, mkoa na Kanda inayokutambua.
Ukisema unaongea kama kiongozi ni lazima unayoyaongea yatokane na vikao vya CHADEMA na wewe uwe na hadhi, madaraka na mamlaka ya kuyasema uyasemayo kwa niaba ya ngazi ya chama uliyomo.
Acheni ushamba wa kudhani hizo nguo zenye nembo ya CHADEMA ndizo zinahalalisha uchadema wa mtu.
Mtu anaweza kujitambulisha yeye ni mwanachadema ama ni kiongozi wa CHADEMA lakini Katiba ya CHADEMA IKAMTAA.
Script zinatengenezwa na mazuzu kina Tilahtilah unategemea cha maana? Mtu kavaa t-shirt ya CDM halafu anaongea agenda za CCM na tume ya Jaji Chande?Kuna watu wanahangaika sana kuwavalisha watu wanaowatumia kuishambulia CHADEMA kwa kuwavalisha nguo zenye nembo ya CHADEMA ili kuthibitisha "uchadema" wao.
Mtu kuzungumza kama mwanachadema kuko kikatiba kwa kufuata Katiba ya CHADEMA na siyo kwa kuvaa nguo yenye nembo ya CHADEMA.
Maana ili uwe mwanachadema ni lazima uwe na Kadi ya CHADEMA, uwe na msingi, tawi, Kata, Jimbo, mkoa na Kanda inayokutambua.
Ukisema unaongea kama kiongozi ni lazima unayoyaongea yatokane na vikao vya CHADEMA na wewe uwe na hadhi, madaraka na mamlaka ya kuyasema uyasemayo kwa niaba ya ngazi ya chama uliyomo.
Acheni ushamba wa kudhani hizo nguo zenye nembo ya CHADEMA ndizo zinahalalisha uchadema wa mtu.
Mtu anaweza kujitambulisha yeye ni mwanachadema ama ni kiongozi wa CHADEMA lakini Katiba ya CHADEMA IKAMTAA.
Uwezo wao wa kufikiria ndio umeishia hapo—wanafikiri uCHADEMA ni vazi.Kuna watu wanahangaika sana kuwavalisha watu wanaowatumia kuishambulia CHADEMA kwa kuwavalisha nguo zenye nembo ya CHADEMA ili kuthibitisha "uchadema" wao.
Mtu kuzungumza kama mwanachadema kuko kikatiba kwa kufuata Katiba ya CHADEMA na siyo kwa kuvaa nguo yenye nembo ya CHADEMA.
Maana ili uwe mwanachadema ni lazima uwe na Kadi ya CHADEMA, uwe na msingi, tawi, Kata, Jimbo, mkoa na Kanda inayokutambua.
Ukisema unaongea kama kiongozi ni lazima unayoyaongea yatokane na vikao vya CHADEMA na wewe uwe na hadhi, madaraka na mamlaka ya kuyasema uyasemayo kwa niaba ya ngazi ya chama uliyomo.
Acheni ushamba wa kudhani hizo nguo zenye nembo ya CHADEMA ndizo zinahalalisha uchadema wa mtu.
Mtu anaweza kujitambulisha yeye ni mwanachadema ama ni kiongozi wa CHADEMA lakini Katiba ya CHADEMA IKAMTAA.
Mimi nawalaumu sana viongozi wa Chadema tangu polisi walivyovunja duka la mfanyabiashara aliyekuwa anauza vifaa vya Chadema na kupora vifaa hivyo hawakufuatilia sasa vifaa hivyo ndiyo vinatumiwa kuihujumu Chadema.Kuna watu wanahangaika sana kuwavalisha watu wanaowatumia kuishambulia CHADEMA kwa kuwavalisha nguo zenye nembo ya CHADEMA ili kuthibitisha "uchadema" wao.
Mtu kuzungumza kama mwanachadema kuko kikatiba kwa kufuata Katiba ya CHADEMA na siyo kwa kuvaa nguo yenye nembo ya CHADEMA.
Maana ili uwe mwanachadema ni lazima uwe na Kadi ya CHADEMA, uwe na msingi, tawi, Kata, Jimbo, mkoa na Kanda inayokutambua.
Ukisema unaongea kama kiongozi ni lazima unayoyaongea yatokane na vikao vya CHADEMA na wewe uwe na hadhi, madaraka na mamlaka ya kuyasema uyasemayo kwa niaba ya ngazi ya chama uliyomo.
Acheni ushamba wa kudhani hizo nguo zenye nembo ya CHADEMA ndizo zinahalalisha uchadema wa mtu.
Mtu anaweza kujitambulisha yeye ni mwanachadema ama ni kiongozi wa CHADEMA lakini Katiba ya CHADEMA IKAMTAA.
Tatizo aliyevunjiwa inawezekana aliogopa kupambana na walioiba... Si anawajua🥺Mimi nawalaumu sana viongozi wa Chadema tangu polisi walivyovunja duka la mfanyabiashara aliyekuwa anauza vifaa vya Chadema na kupora vifaa hivyo hawakufuatilia sasa vifaa hivyo ndiyo vinatumiwa kuihujumu Chadema.
Je hizo zina nembo ya Chadema, hata yanga wana jezi rangi ya mbogamboga tofauti za yanga zina nembo ya mfadhili na mboga mboga wana nembo ya jembe na nyundo(sijui vizuri nembo sababu hawanihusu)Watu wa mbuga za wanyama (uhifadhi) sio watu wa tours ni sekta mbili tofauti. What's your point dude?
Nembo ndiyo msingi wa utambulisho.Je hizo zina nembo ya Chadema, hata yanga wana jezi rangi ya mbogamboga tofauti za yanga zina nembo ya mfadhili na mboga mboga wana nembo ya jembe na nyundo(sijui vizuri nembo sababu hawanihusu)