Kuvaa night dress kwa wanandoa/wapenzi...

Daahh
samahani mkuu
Ni mazoea tu mmhh
sasa hapo huelewi nilicho
Andika au huelewi maandishi yalivyo?
hapo wewe unaona sawa tu, unaandika halafu humalizii maneno ndo maana napata shida, ni maoni yangu tu usikonde
 
bwana inaongeza mvuto hasa kakiwa kafupi halafu ndani no kufuli, bamsapu wangu anapenda sana hii anasemaga nakuwa romantic,yeuwi!
 
Lizzy kwani wewe ukiwa unapika msosi huwa hauonji hata kama unapikia wageni?

Wewe....yani unafananisha chakula jikoni na mjukuu chumbani sijui kitandani???:tape:
 
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...

Sijui kama ni ushamba ama vipi, ila mimi toka udogoni nalala bila nguo, i mean natoa zote!
 
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...

"SUTI YA BAFUNI NDIO IFAAYO KITANDANI KWA WANANDOA... by late pastor nyagori, book title;METHALI ZA NDOA
 
W
hapo wewe unaona sawa tu, unaandika halafu humalizii maneno ndo maana napata shida, ni maoni yangu tu usikonde

We ni wa kwanza
ku complain kuhusu
ninavyoandika nikipata
Complaint s nyingine itabidi
Nifanye research ....
 
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...

vaeni ili mvuane.
 
Ni maamuzi ya wanandoa ambayo yanaweza kutofautiana kati ya wanandoa A na B na hakuna ubaya wowote. Wengine wanalala na birthday suti, kanga, night dress n.k.
 
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...

Kweli kabisa mie marafiki zangu wanaume wanigeria wa kabila fulani walisema mwanamke lazima alale akiwa tayari muda wote usiku na mumewe yaani kama hakuna kuvaa chupi etc

Powa sana
 
Kuna wanawake wengine wanalala na chupi, sasa ina maana hapo mzee akitaka inabidi aanze kumpangua kana kwamba wanakutana kwa mara ya kwanza. Hii imekaaje.
 
Inategemea upo wapi na ni majira gani! Kwa dar au mikoa mingine yenye joto....kulala na nguo ya aina yoyote ule huwa ni kero tosha!
 
Night Dress inamvuto wake jamani........ahhhhhh acheni jamani
 
Mambo ya kuiga tu, upande wa khanga ya india unatosha mambo yakiwa mambo unavutwa tu. mtu umeolewa minguo ya nini usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…