Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Ok...
wacha nikamshauri mamsapu...
Vp mkuu, alikuwa analala na jinsi nini au bila bila:yield::yield:??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok...
wacha nikamshauri mamsapu...
hapo wewe unaona sawa tu, unaandika halafu humalizii maneno ndo maana napata shida, ni maoni yangu tu usikondeDaahh
samahani mkuu
Ni mazoea tu mmhh
sasa hapo huelewi nilicho
Andika au huelewi maandishi yalivyo?
kavu kavuHivi night dress inanoga ikiwa na kufuri ndani au kavu kavu?
Lizzy kwani wewe ukiwa unapika msosi huwa hauonji hata kama unapikia wageni?
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...
Utakuwa umekuwa umekulia sehemu za joto!Sijui kama ni ushamba ama vipi, ila mimi toka udogoni nalala bila nguo, i mean natoa zote!
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...
hapo wewe unaona sawa tu, unaandika halafu humalizii maneno ndo maana napata shida, ni maoni yangu tu usikonde
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...
W
We ni wa kwanza
ku complain kuhusu
ninavyoandika nikipata
Complaint s nyingine itabidi
Nifanye research ....
Hivi night dress inanoga ikiwa na kufuri ndani au kavu kavu?