Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?
Subiri wenye wake waje

Unajua maana ya tija we mchaga?
Matatizo yenu ya ndoa jaribuni kuanzia kwa wasimamizi wenu. Kama mkeo anavaa jinsi si anavaa ili apendeze mkiwa kitandani!
Juzi mwenzako kaja hapa anauliza mafuta ya kulainisha uchi wa mkewe, akimaaanisha ni MGUMU mno. Nikamshauri atumia 20W50 tena za BP ndio nzuri, hata Visco DalaDala ingemfaa
ndoa ni chama cha walala uchii, niliisikia hii salon.
Nakumbuka wakati tunasoma, zile shule za design ya asheri, kulikuwa na uvamizi na uchomaji moto shule. So tulikuwa tunalala na jeans kama defense mechanism, kuwa inacase tukavamiwa iwe kazi kwa mbakaji kupata access ya vile vitu mama zetu walitupa. Isije ikawa lengo la huyo mwana ndoa linafanana na lililokuwa letu!lol
watu8 kwa taarifa yako wanawake wa kimachame ndio magwiji wa mahaba ile mbaya, hawa wamefunzwa kutokuvaa hata chupi ya ndani zaid ya khanga nyepesi moja, inayoacha maungo yake kuonekana kwa mbali huku yakiamsha hisia za mapenzi. lol waliotuoa hawajawah kujuta wewe na wanaenjoy kama wako paradiso chezeya mpalestina weye.hujakutana na Wapalestina"wamachame" wewe
watu8 kwa taarifa yako wanawake wa kimachame ndio magwiji wa mahaba ile mbaya, hawa wamefunzwa kutokuvaa hata chupi ya ndani zaid ya khanga nyepesi moja, inayoacha maungo yake kuonekana kwa mbali huku yakiamsha hisia za mapenzi. lol waliotuoa hawajawah kujuta wewe na wanaenjoy kama wako paradiso chezeya mpalestina weye.
Unajua maana ya tija we mchaga?
Matatizo yenu ya ndoa jaribuni kuanzia kwa wasimamizi wenu. Kama mkeo anavaa jinsi si anavaa ili apendeze mkiwa kitandani!
Juzi mwenzako kaja hapa anauliza mafuta ya kulainisha uchi wa mkewe, akimaaanisha ni MGUMU mno. Nikamshauri atumia 20W50 tena za BP ndio nzuri, hata Visco DalaDala ingemfaa
Hivi umevaa night dress ya rangi gani muda huu?
mmmh Eiyer nimevaa ya purple fupi sleeveless, transparent kifuani imenakishiwa kwa kutengenezewa vitu kama bra kias kwamba lol hata kama network hakuna inakuwepo tu kwa aonaye.
Kulala na birthday suit kuna raha sana
We waache waseme weeeeeee...... Wanatimua mavumbi sisi twala.....! Wanataka Mapinduzi, na mapinduzi hawayawezi....jamani bb umewachoka kweli wakaka wa kichaga, subiri waje ngoja nikuitie uwaskie. Asprin babu eeeh! njooo huku wanadai nyie wachaga bure kabisa kunako kwa kitanda waite na wengine wote wamsikie huyu. mm ntakuwa refa
We waache waseme weeeeeee...... Wanatimua mavumbi sisi twala.....! Wanataka Mapinduzi, na mapinduzi hawayawezi....
Khaaa...! Haya matangazo haya!.... Mh!
Shauri yako inbox ya PM yako ikijaa mitongozo. Kuna midume huku inatongoza mpaka avatar.:sick:aulizaye ataka kujua so kajibiwa ili siku nyingine asiulize. lakin keshapata desa la aina ya nite dress anayotakiwa kumnunulia mkewe.