Kuvaa night dress

Kuvaa night dress

Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?

niliwahi sikia muuza gagulo za kulalia za wanawake anatangaza ... "gagulo za kulalia...kitu night-dress,... mwanamke unalala na jeans weeye komandoo??" .... labda huyo anayelala na jeans ni mmoja wa makomando!
 
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?

suruali ya jeans siyo night dress mkubwa!!

Na wewe ulale na ovaroli kabisa..khaa
 
:biggrin1: hiyo sijawahi ona...anavaa jeans kitandani he he...jeans sio night dress..mimi i prefer asivae kitu kabisa joto lote hili nguo za nini
 
Unajua maana ya tija we mchaga?

Matatizo yenu ya ndoa jaribuni kuanzia kwa wasimamizi wenu. Kama mkeo anavaa jinsi si anavaa ili apendeze mkiwa kitandani!
Juzi mwenzako kaja hapa anauliza mafuta ya kulainisha uchi wa mkewe, akimaaanisha ni MGUMU mno. Nikamshauri atumia 20W50 tena za BP ndio nzuri, hata Visco DalaDala ingemfaa

ahahahhahaha...lol!! yaani nimecheka mpaka basi.. khaa ukashauri atumie oil za gari, wewe ni khatari!😛ound:
 
ndoa ni chama cha walala uchii, niliisikia hii salon.
Nakumbuka wakati tunasoma, zile shule za design ya asheri, kulikuwa na uvamizi na uchomaji moto shule. So tulikuwa tunalala na jeans kama defense mechanism, kuwa inacase tukavamiwa iwe kazi kwa mbakaji kupata access ya vile vitu mama zetu walitupa. Isije ikawa lengo la huyo mwana ndoa linafanana na lililokuwa letu!lol

una utani na asheri wa green acres wewe!!! Shauri yako
 
hujakutana na Wapalestina"wamachame" wewe
watu8 kwa taarifa yako wanawake wa kimachame ndio magwiji wa mahaba ile mbaya, hawa wamefunzwa kutokuvaa hata chupi ya ndani zaid ya khanga nyepesi moja, inayoacha maungo yake kuonekana kwa mbali huku yakiamsha hisia za mapenzi. lol waliotuoa hawajawah kujuta wewe na wanaenjoy kama wako paradiso chezeya mpalestina weye.
 
Last edited by a moderator:

Hivi umevaa night dress ya rangi gani muda huu?
 
Last edited by a moderator:
Unajua maana ya tija we mchaga?

Matatizo yenu ya ndoa jaribuni kuanzia kwa wasimamizi wenu. Kama mkeo anavaa jinsi si anavaa ili apendeze mkiwa kitandani!

Juzi mwenzako kaja hapa anauliza mafuta ya kulainisha uchi wa mkewe, akimaaanisha ni MGUMU mno. Nikamshauri atumia 20W50 tena za BP ndio nzuri, hata Visco DalaDala ingemfaa

jamani bb umewachoka kweli wakaka wa kichaga, subiri waje ngoja nikuitie uwaskie. Asprin babu eeeh! njooo huku wanadai nyie wachaga bure kabisa kunako kwa kitanda waite na wengine wote wamsikie huyu. mm ntakuwa refa
 
jeans!!!!!!! Si haba kunakitu hapo, muulize vizur....
 
Hivi umevaa night dress ya rangi gani muda huu?

mmmh Eiyer nimevaa ya purple fupi sleeveless, transparent kifuani imenakishiwa kwa kutengenezewa vitu kama bra kias kwamba lol hata kama network hakuna inakuwepo tu kwa aonaye.
 
Last edited by a moderator:
mmmh Eiyer nimevaa ya purple fupi sleeveless, transparent kifuani imenakishiwa kwa kutengenezewa vitu kama bra kias kwamba lol hata kama network hakuna inakuwepo tu kwa aonaye.

Bora sikuiona hii post jana usiku ingeharibu usiku wangu bure... . .Lol. .
 
Last edited by a moderator:
Kulala na birthday suit kuna raha sana
 
jamani bb umewachoka kweli wakaka wa kichaga, subiri waje ngoja nikuitie uwaskie. Asprin babu eeeh! njooo huku wanadai nyie wachaga bure kabisa kunako kwa kitanda waite na wengine wote wamsikie huyu. mm ntakuwa refa
We waache waseme weeeeeee...... Wanatimua mavumbi sisi twala.....! Wanataka Mapinduzi, na mapinduzi hawayawezi....
 
mmmh Eiyer nimevaa ya purple fupi sleeveless, transparent kifuani imenakishiwa kwa kutengenezewa vitu kama bra kias kwamba lol hata kama network hakuna inakuwepo tu kwa aonaye.
Khaaa...! Haya matangazo haya!.... Mh!
 
aulizaye ataka kujua so kajibiwa ili siku nyingine asiulize. lakin keshapata desa la aina ya nite dress anayotakiwa kumnunulia mkewe.
Shauri yako inbox ya PM yako ikijaa mitongozo. Kuna midume huku inatongoza mpaka avatar.:sick:
 
Back
Top Bottom