Kuvaa saa enzi hizi za dijitali ni mbwembwe au usharobaro?

Uvaaji wa saa umenza tena kurudi lakini siyo kwa kuangalia muda. Uvaaji wa saa unarudi kama fashion.

Ndo maana hata makampuni ya simu yamekuja na smartwatches zenye dhamani kubwa.

Tatifiti zinaonyesha kuwa mtu mmoja kati ya wanne wanavaa saa kwa ajili ya kuangalia muda.

Asilimia 27 wanavaa saa kama urembo na mmoja kati ya watu nane wanavaa saa kuonyesha status yao kwenye jamii. Watu matajari wanachukulia saa kama kama alama ya utajiri na mafanikio.

Hata hivyo, smartphone zimepetoza umuhimu wa saa za kawaida. Sema tuu saa za siku hizi nazo zimekuwa smart siyo kwa ajili ya kuangalia muda bali kama fasheni na nyngine zinakupa real time data.

Ukweli ni kuwa watu wengi jua na simu kujua muda. Isitoshe siku hizi saa zipo kila mahali, mpaka kwenye barabara, magari, shopping centres, maofisini, nk.
 
Saa ya mkononi ina maana nyingi tofauti. 1. Kuonyesha muda.
2. Umaridadi na siyo usharobaro kama ww unavyoita
3. Saa wakati mwingine ni sawa na mali iliyohifadhiwa thus why kuna baadhi ya saa ya mtu maarufu huuzwa kwa mnada TENA kwa gharama kubwa. Kwa hbr ya muda kuna baadhi ya maeneo ya huduma huruhusiwi kutumia simu, mf Maabara ma umevaa glove, hivyo saa ni ya muhimu. Lakn kina baadhi ya vipimo ya maabara unapima muda kwa sekunde 5 tu kwa simu huoni ni tatzo japo ina saa?
 
Kwa hbr ya muda kuna baadhi ya maeneo ya huduma huruhusiwi kutumia simu, mf Maabara ma umevaa glove, hivyo saa ni ya muhimu.

Hivi bado kuna maabara ambazo bado hazina saa ya ukutani? That must be an old fashioned laboratory.

Sehemu mabazo sijawahi kukuta saa ni vyooni.
 
Kuvaa saa ni kitu muhimu kwasababu kuna mazingira hauwezi kutoa simu ukaangalia ni muda; ndipo saa huonekana muhimu ktk hali na mazingira kama hayo. Kuvaa saa si mbwembwe labda sasa kwa mtu kama wewe ndugu kama labda mazingira yako yanakuruhusu muda wote na ktk kazi zako zote kutumia simu!
 
Kwa Stail hii bas Hata clock City Kweny miji km arusha zing'olewe
 
hata kanisani atakuwa anaacha Bible home anaenda kutumia digital version aliyodownload kwenye simu yake
 
mtoa masa
 
Mimi pia nina saa nyingi mno ndio ugonjwa wangu. Nikisahau kuvaa saa narudi kuvaa ni kama sijavaa viatu
Huu utumwa ndio tunaoukataa kwa nguvu zetu zote. Vitu vingine ni mazoea tu lakini havina maana yoyote...ndio maana mtaani mafundi wa simu wamejaa kila kona lakini mafundi SAA huwezi kuwakauta. Hii inaashiria kwamba saa zimepitwa na wakati.
 
A really gentleman lazima avae SAA kwani SAA ni moja kati ya pambo zuri sana na lisilombadilisha sifa ya ulijali mwanaume zaidi ya kumfanya aonekane gentleman.
A gentleman can't be complete without a watch and wallet.... OVER!!
 
Asa we mtoa uzi ushaona nani anavaa saa kweny kiganja au na ww n homorapa strong woman
 
Kwa Kweli saa ni kama vazi kwani mm nisipovaa mkono unakuwa mwepesi, yaani bila saa siku nzima najiona tofauti kabisa
 
Kati ya vitu classic na gharama ni SAA napenda sana na collection kama kumi hivi kuanzia Euro 4000 mpaka euro 200.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…