Kuvaa saa mkono wa kulia

ipogolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
6,280
Reaction score
5,979
Brother and sisters habari zenu nimeangalia baadhi ya watu maarufu nimeona wanavaa saa mkono wa kulia mfano Mzee Jakaya. Shafii Dauda. Afande mmoja JWTZ mwenye rank ya Major General kwa wajuzi wa masuala kuvaa saa mkono wa kulia ina toa tafsiri gani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa inatakiwa kuvaliwa mkono wa kushoto, hakuna hata saa moja iliyotengenezwa kwa design ya kuvaliwa mkono wa kulia hakuna

Ile sehemu ya kurekebisha saa kitu kama cha kuzungusha hivi kinakuwa upande wa kulia, hiyo ni ishara kwamba hiyo saa ni kuvaliwa mkono wa kushoto full stop, hakuna saa iliyo kinyume na hiyo design.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nimeuliza. Kuna tafsiri yoyote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kukariri maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukijibiwa hilo swali na mim mtanijibu kuvaa shanga kwenye miguu kwa mwanamke kuna maana gani
 
Anza na mapadre wote masister wote na watawa wote wa katoliki huvaa mkono wa kushoto...

Ila wanasiasa na watu wanaopenda umaarufu hupendelea mkono wa kulia

Kazi kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…