ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
Brother and sisters habari zenu nimeangalia baadhi ya watu maarufu nimeona wanavaa saa mkono wa kulia mfano Mzee Jakaya. Shafii Dauda. Afande mmoja JWTZ mwenye rank ya Major General kwa wajuzi wa masuala kuvaa saa mkono wa kulia ina toa tafsiri gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app