Kwetu mbuzi wameanzia elfu 50, niliwahi kununua mbuzi mwaka 2010 bei ilikuwa elfu 20 kipindi hicho nipo shule ya msingi hivi yule mbuzi alizaa vitoto lakini chuki za wanakijiji walimuiba niliumia sana..Mbuzi wa bei hiyo wanapatikana wapi mkuu? Huku kwetu bei ya mbuzi 200,000
Kitabu bei gani tajiriTunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida
Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa.
Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina Hela ya kula kumbe kuna sehemu kawekeza hela yake.
Ukweli ni kwamba bila kujitoa Huwezi kuwekeza. Endelea Kuwekeza kwenye muonekano utawakumbuka BUSINESS IDEAS ACADEMY.
Wakati unafuga nywele wenzako wanafuga Kuku, bata, mbuzi na ng'ombe.
View attachment 3297934
Unapanda maua ya mapambo wenzako tunapanda Mboga Mboga
Anza leo kuwekeza hata kwenye maarifa:
View attachment 3297931
Kujipatia kitabu cha Mawazo 112 ya biashara unaweza kutufuta whatsapp: 0612607426
Iko hivi ngoja nikwambie mimi nimeishi ukinga huko makete ndani ndani, kijana akifikisha miaka 16 au 17 anapewa akili ya pesa alafu anaingia kwenye utafutaji.Ni kweli mkuu, nimekaa kule kwako najua mitindo yao ya maisha na uchumi.
Ndio maana hapa dar tunawatia freemason mara wachawa nk lakini hesabu zao ni za mbali sana.
Mkuu usicheke kwetu mbuzi wa bei hiyo unapata mtu akichalala, ni kuuliza tu wanapatikana sehemu gani!Mbuz efu 40😅
Wana pesa za kishirikina sikukatalii lakini hao jamaa kwa nidhamu ya pesa wanaongoza Tanzania nzima, ni wachumi hakuna mfano....Mwisho wa kuwa na hizo pesa ni nini? Huo ni ushamba. Njombe ni washamba, eti mwanamke ana 500M bado anauza mboga sokoni, hiyo ni akili au matope? Wakinga pesa zao za kishirikina siyo wa kutolea mfano. Km huwezi kuvaa vizuri, kula vizuri, kuishi pazuri, kumiliki mali za kisasa huo siyo utajiri, utakuwa ni uchawi
Asante kwa kutusanua😊Tunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida
Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa.
Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina Hela ya kula kumbe kuna sehemu kawekeza hela yake.
Ukweli ni kwamba bila kujitoa Huwezi kuwekeza. Endelea Kuwekeza kwenye muonekano utawakumbuka BUSINESS IDEAS ACADEMY.
Wakati unafuga nywele wenzako wanafuga Kuku, bata, mbuzi na ng'ombe.
View attachment 3297934
Unapanda maua ya mapambo wenzako tunapanda Mboga Mboga
Anza leo kuwekeza hata kwenye maarifa:
View attachment 3297931
Kujipatia kitabu cha Mawazo 112 ya biashara unaweza kutufuta whatsapp: 0612607426
Hiyo laki inakuwa ya matumizi au ya biashara?Wana pesa za kishirikina sikukatalii lakini hao jamaa kwa nidhamu ya pesa wanaongoza Tanzania nzima, ni wachumi hakuna mfano....
Nina rafiki yangu alivyomaliza tu form 4 akaanunua Vitz yule jamaa baba yake alimwachia urithi wa ng'ombe wa maziwa anauza yeye mwenyewe lakini tukienda kula yeye anakula chips kavu za buku na hapo ana zaidi ya laki kwenye wallet!
Ni hela ya kulinda mfuko tu, biashara anakuwa nazo lakini kutumia hela vibaya ni mwiko jamaa angu.Hiyo laki inakuwa ya matumizi au ya biashara?
Hapana. Hayo ni mateso!!Ni hela ya kulinda mfuko tu, biashara anakuwa nazo lakini kutumia hela vibaya ni mwiko jamaa angu.
Sio mateso bali ni nidhamu aliyojiwekea.Hapana. Hayo ni mateso!!
Ni sawa kabisa Cha kuzingatia ni vipaumbele vyako na Nini unataka kwenye maisha Yako muhimu unayafurahia maisha hayo unayo yaishi.An hata ukitembea uchi ni ww tu,lakuzingatia Maisha yanaendaje
Unamsifia anayekula chips kavu za buku upo serious kweli mkuu? Badala ale vizuri kwa afya yake anajitesa kwa kula machips na maziwa anakamua mwenyewe anashindwa kunywa glass moja ya maziwa?Wana pesa za kishirikina sikukatalii lakini hao jamaa kwa nidhamu ya pesa wanaongoza Tanzania nzima, ni wachumi hakuna mfano....
Nina rafiki yangu alivyomaliza tu form 4 akaanunua Vitz yule jamaa baba yake alimwachia urithi wa ng'ombe wa maziwa anauza yeye mwenyewe lakini tukienda kula yeye anakula chips kavu za buku na hapo ana zaidi ya laki kwenye wallet!
Kila kiumbe na njia zake, jambo muhimu ni kujuwa dhumuni la maisha Yako bhasi inatosha kabisaTunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida
Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa.
Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina Hela ya kula kumbe kuna sehemu kawekeza hela yake.
Ukweli ni kwamba bila kujitoa Huwezi kuwekeza. Endelea Kuwekeza kwenye muonekano utawakumbuka BUSINESS IDEAS ACADEMY.
Wakati unafuga nywele wenzako wanafuga Kuku, bata, mbuzi na ng'ombe.
View attachment 3297934
Unapanda maua ya mapambo wenzako tunapanda Mboga Mboga
Anza leo kuwekeza hata kwenye maarifa:
View attachment 3297931
Kujipatia kitabu cha Mawazo 112 ya biashara unaweza kututafuta whatsapp: 0612607426 au kwa email: business.ideas613@gmail.com
mwenye akili ya pesa hajibani kutumia pesa yake👿 yy anahakikisha anaongeza kipato kukidhi mahitaji yake!Kila kiumbe na njia zake, jambo muhimu ni kujuwa dhumuni la maisha Yako bhasi inatosha kabisa
Lakini kama mtu anauwezo wa kununua nguo lakini ataki badala yake anakalia kuvaa shati Moja sio ustarabu mzuri shati Hilo Hilo eti yupo bize kutafuta Hela shati lichafu linanuka majasho akikusogelea karibu ni kero kabisa 🤮uo sio uungwana.
unapatikana wapi mkuu?Mbuzi wa bei hiyo wanapatikana wapi mkuu? Huku kwetu bei ya mbuzi 200,000
Ni 40000 vitotoMbuzi wa bei hiyo wanapatikana wapi mkuu? Huku kwetu bei ya mbuzi 200,000