Kuvaa shati moja kila siku sio umaskini

Kwa hiyo mtu atembee peku ili anunue mbuzi? Haya anatembea peku kachomwa na msumali nwenye tetanus matibabu milioni 2, au kagongwa na nyoka kwenye kiisigino Anti-venom gharama laki 6 kwa sindano moja. Ila kupanga ni kuchgua.
Wee Acha tu kiluna mambo ni bonge la ujinga
 
Kula milo 10 sio afya. Nini unakula ndo muhimu.

Wewe ni mmoja wa hao watu ambao hawajawahi kutumia dawa za hospitali au unaongea tu hadithi za kusadikika
Dawa za hospitali nimetumia, lakini naweza kusema Mungu amenijalia afya njema ninaweza kukaa hata miaka miwili sijatumia dawa za hospitali..

Najitunza na ninaijali afya yangu kwa kiasi kikubwa sana.
 
Mkubwa mkuu
Hajatembea sana huyo kuna sehemu mbuzi kwao sio kipaumbele, yaani sehemu zingine unaweza zunguka usikute wamechinja nyama ya mbuzi ni mwendo wa kitimoto na nyama ya ng'ombe.

Maeneo kama hayo mbuzi hawana thamani kiivyo.
 
Basic needs ni malazi, mavazi na chakula!
Nidhamu inaenda na mpangilio mzuri wa afya ya mwili na akili.
Huyo anajitesa na sio nidhamu!
Hivi nikuulize swali? Mtu anayekula kisinia chenye junk foods na yule aliyekula ugali na maharage na mboga za majani wote wakishiba utasema aliyekula kisinia ndio amefaidi kula chakula cha afya??

Afya ya mtu ipo kwenye mpangilio wa chakula tu na sio vyakula vya bei au vilivyonona jua kutofautisha hapo usilete ujuaji!
 
Hajatembea sana huyo kuna sehemu mbuzi kwao sio kipaumbele, yaani sehemu zingine unaweza zunguka usikute wamechinja nyama ya mbuzi ni mwendo wa kitimoto na nyama ya ng'ombe.

Maeneo kama hayo mbuzi hawana thamani kiivyo.
Hakika mimi nilishtuka mahali kulikuwa na mbuzi elfu 20 tena kabeba karibu kujifungua halafu ni mbuzi wanao zaa Mapacha hadi 4 kwa mara moja. Tatizo likawa usafiri tu ndo mtihani
 
Kabisa maisha ni kubalance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…