Kuvuka mtihani wa Uwakili ni balaa LST

Kuvuka mtihani wa Uwakili ni balaa LST

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Katika mtihani uliofanywa mwaka huu Pale Law School Tanzania na Wanafunzi 633, wanafunzi 26 pekee wamefaulu Kwa Maana ya first seating

Wanafunzi Wengi mwaka huu wamefail sana katika Shule kuu ya Sheria [Law School].

Wadau wanalalamikia mifumo wakitaka uchunguzi ufanyike.

PIA uongozi wa chuo umebainisha sababu za wengi kufeli na wameeleza mipango iliyopo Sasa.

265, ni idadi ya wanafunzi wa Shule kuu ya Sheria [Law School] waliofeli [Disco] na kukatiza masomo.

Huku 342 wakitakiwa kurudia mitihani [Sup].✍🏼_
 
.

Kuna tatizo, siyo weakness ya wanafunzi
 
Je kwa Tanzania mitihani ya law school ifutwe au iboreshwe ili tupate fursa ndani na nje ya nchi

2 February 2019
Kampala, Uganda

Legal experts disagree on removing LDC pre-entry exams

Over the years, scores of people have failed the pre-entry exams for the Law Development Centre bar course. Last year, the debate in many circles on whether these exams are a necessity raged on after Parliament passed a resolution to have the examinations suspended. The President of the Uganda Law society Simon Peter Kinobe does not agree with the call to scrap the pre-entry exams.

Source: NTVUganda
 
Wakuu Katika mtihani uliofanywa mwaka huu Pale Law School Tanzania na Wanafunzi 633, wanafunzi 26 pekee wamefaulu Kwa Maana ya first seating
.
Wanafunzi Wengi mwaka huu wamefail sana katika Shule kuu ya Sheria [Law School].
.
Wadau wanalalamikia mifumo wakitaka uchunguzi ufanyike.
.
PIA uongozi wa chuo umebainisha sababu za wengi kufeli na wameeleza mipango iliyopo Sasa.
.
265, ni idadi ya wanafunzi wa Shule kuu ya Sheria [Law School] waliofeli [Disco] na kukatiza masomo.
.
Huku 342 wakitakiwa kurudia mitihani [Sup].✍🏼_
Sasa wakifaulu wote waje mtaani kazi ziko wapi!!!??
Siku hizi kazi ya uwakili wa kujitegemea ni ngumu sana!!??
Waulize mawakili watakwambia. Alafu ni fani inayokwenda kufa supply kubwa demand kidogo
 
Ebu fikria Civil yote uliyoisoma undergraduate mwaka mzima unaisoma wiki Moja Juma3 mpka ijumaa then Juma3 yake unaingia kwenye pepa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.
Halafu pale Lst wanachofundisha HAKITOKI Kwenye Pepa So inabidi ujiongeze [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona watu wengi sana wakiilaumu Shule ya Sheria Tanzania lakini kuna kitu kimoja wanakisahau.

Kufeli kwa wanafunzi wote hao 265 kuna sababu nyingi, lakini wengi wanasahau mtindo uliopo sasa hivi katika vyuo vingi Tanzania. Mtoto akishachaguliwa kujiunga na chuo ni lazima atamaliza na kuzawadiwa degree yake. Kuna vyuo hasa hivi vya Private mwalimu ukimark mitihani na ukaona kabisa huyu mtoto hana uwezo na ukambebesha somo, unakuja kuambiwa rekebisha matokeo watoto waende.

Wakiona watoto wengi wanafeli, unaulizwa hawa wote wakifeli wewe tutakulipa kwa pesa gani?

Elimu biashara imeharibu sana mfumo wetu wa elimu hapa nchini.

Kiufupi watoto wengi sana siku hizi wanazawadiwa degree huko vyuoni kwasababu mbalimbali.
 
Mie nadhani Law School wanatakiwa kukaza uzi zaidi. Pale wanafundisha tarafibu za kisheria na mahakama.
Maswali wanauliza ili utumie elimu yako na ufikiri namna ya kutatua swali uliloulizwa.
Wanafunzi wanataka waulizwe kilichofundishwa darasani. Hicho walishafanya walipokuwa Digrii ya kwanza. LLB. Hapo Law School ni tatizo, ufikiri, utumie elimu yako kulitatua. Sio kujibu swali.
Hata CPA inawapiga wengi chenga wa sababu hiyo hiyo. Principals walishafundishwa shuleni. Kwenye CPA wanapewa tatizo ili watumie principals kulitatua.
 
Wakuu Katika mtihani uliofanywa mwaka huu Pale Law School Tanzania na Wanafunzi 633, wanafunzi 26 pekee wamefaulu Kwa Maana ya first seating

Wanafunzi Wengi mwaka huu wamefail sana katika Shule kuu ya Sheria [Law School].

Wadau wanalalamikia mifumo wakitaka uchunguzi ufanyike.

PIA uongozi wa chuo umebainisha sababu za wengi kufeli na wameeleza mipango iliyopo Sasa.

265, ni idadi ya wanafunzi wa Shule kuu ya Sheria [Law School] waliofeli [Disco] na kukatiza masomo.

Huku 342 wakitakiwa kurudia mitihani [Sup].[emoji1600]_
tatizo wanafunzi wa kizazi hiki wengi wao hawataki kusumbuka kusoma vitabu. wengi wao wanataka mtelezo tu.

asilimia kubwa ya wasomi wetu wanasomea ili kupata ajira ama kupandishwa vyeo.....unakuta mtu ana digiriii lakini kichwani patupu....unamkuta mwengine ana masters lakini haina kichwani hakuna kilicho ongezeka.......hakuna tofauti kabisaaa.
 
Wakuu Mtu akiitwa wakili msomi muelewe tu na mheshimu
.
Somo moja mitihani karibu minne na hutakiwi kufeli hata mmoja
.
Somo mmoja Unafanya
Oral
Then
Mwingine WPE

FINAL EXAMS

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mbona hivi vitu ni normal ata kwa school of medicine nimepiga oral tangu mwaka wa kwanza yani unapiga theory,practical,oral na bado wodini 😂😄
 
Nimeona watu wengi sana wakiilaumu Shule ya Sheria Tanzania lakini kuna kitu kimoja wanakisahau.

Kufeli kwa wanafunzi wote hao 265 kuna sababu nyingi, lakini wengi wanasahau mtindo uliopo sasa hivi katika vyuo vingi Tanzania. Mtoto akishachaguliwa kujiunga na chuo ni lazima atamaliza na kuzawadiwa degree yake. Kuna vyuo hasa hivi vya Private mwalimu ukimark mitihani na ukaona kabisa huyu mtoto hana uwezo na ukambebesha somo, unakuja kuambiwa rekebisha matokeo watoto waende.

Wakiona watoto wengi wanafeli, unaulizwa hawa wote wakifeli wewe tutakulipa kwa pesa gani?

Elimu biashara imeharibu sana mfumo wetu wa elimu hapa nchini.

Kiufupi watoto wengi sana siku hizi wanazawadiwa degree huko vyuoni kwasababu mbalimbali.

Mkuu ukishaingiza SIASA kwenye elimu we tegemea majanga. Ni swala la muda tu, utasikia wanasiasa wataingilia kati na hiyo law school ama itafutwa au watashinikizwa walegeze mitihani.

Iko hivi, nchi yetu ilipanua magoli kuanzia elimu ya msingi, sekondari na A-level. Ikafika wakati watu wanafaulu shule ya msingi huku hawajui kusoma wala kuandika! Watu hao wakaingia sekondari na magoli yakapanuliwa tena ili wapite tupate "numbers" za kutamba kwenye kampeni.

Sasa watoto hao walipofika vyuoni ikawa ni majanga, ikabidi serikali tena iingilie kati na kuanza kutishia kufunga vyuo au kuwafukuza/tishia walimu ambao masomo yao wanafunzi wanafeli. Sasa hao vilaza ndio wamefika level za law school, CPA nk na as usual ili kutatua tatizo serikali itaingilia kati kupanua magoli ili hao watu wapite!
 
Wapanue magoli kwenye kuajiri hao vilaza sasa
 
Sasa wakifaulu wote waje mtaani kazi ziko wapi!!!??
Siku hizi kazi ya uwakili wa kujitegemea ni ngumu sana!!??
Waulize mawakili watakwambia. Alafu ni fani inayokwenda kufa supply kubwa demand kidogo
Taaluma ya sheria ife? Uko serious mkuu?

Hii ndiyo taaluma pekee ambayo ni ya kudumu duniani kwakuwa inaingia kwenye maeneo mengi ya ulimwengu wa leo.

Kuna baadhi ya nchi ili usome sheria basi lazima kwanza uwe na degree ya fani yoyote. Hadi hapo huoni umuhimu wake?
 
Back
Top Bottom