Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Kuna tatizo, siyo weakness ya wanafunziWakuu Katika mtihani uliofanywa mwaka huu Pale Law School Tanzania na Wanafunzi 633, wanafunzi 26 pekee wamefaulu Kwa Maana ya first seating
.
Wanafunzi Wengi mwaka huu wamefail sana katika Shule kuu ya Sheria [Law School].
.
Wadau wanalalamikia mifumo wakitaka uchunguzi ufanyike.
.
PIA uongozi wa chuo umebainisha sababu za wengi kufeli na wameeleza mipango iliyopo Sasa.
.
265, ni idadi ya wanafunzi wa Shule kuu ya Sheria [Law School] waliofeli [Disco] na kukatiza masomo.
.
Huku 342 wakitakiwa kurudia mitihani [Sup].βπΌ_
Sasa wakifaulu wote waje mtaani kazi ziko wapi!!!??Wakuu Katika mtihani uliofanywa mwaka huu Pale Law School Tanzania na Wanafunzi 633, wanafunzi 26 pekee wamefaulu Kwa Maana ya first seating
.
Wanafunzi Wengi mwaka huu wamefail sana katika Shule kuu ya Sheria [Law School].
.
Wadau wanalalamikia mifumo wakitaka uchunguzi ufanyike.
.
PIA uongozi wa chuo umebainisha sababu za wengi kufeli na wameeleza mipango iliyopo Sasa.
.
265, ni idadi ya wanafunzi wa Shule kuu ya Sheria [Law School] waliofeli [Disco] na kukatiza masomo.
.
Huku 342 wakitakiwa kurudia mitihani [Sup].βπΌ_
tatizo wanafunzi wa kizazi hiki wengi wao hawataki kusumbuka kusoma vitabu. wengi wao wanataka mtelezo tu.Wakuu Katika mtihani uliofanywa mwaka huu Pale Law School Tanzania na Wanafunzi 633, wanafunzi 26 pekee wamefaulu Kwa Maana ya first seating
Wanafunzi Wengi mwaka huu wamefail sana katika Shule kuu ya Sheria [Law School].
Wadau wanalalamikia mifumo wakitaka uchunguzi ufanyike.
PIA uongozi wa chuo umebainisha sababu za wengi kufeli na wameeleza mipango iliyopo Sasa.
265, ni idadi ya wanafunzi wa Shule kuu ya Sheria [Law School] waliofeli [Disco] na kukatiza masomo.
Huku 342 wakitakiwa kurudia mitihani [Sup].[emoji1600]_
Mbona hivi vitu ni normal ata kwa school of medicine nimepiga oral tangu mwaka wa kwanza yani unapiga theory,practical,oral na bado wodini ππWakuu Mtu akiitwa wakili msomi muelewe tu na mheshimu
.
Somo moja mitihani karibu minne na hutakiwi kufeli hata mmoja
.
Somo mmoja Unafanya
Oral
Then
Mwingine WPE
FINAL EXAMS
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimeona watu wengi sana wakiilaumu Shule ya Sheria Tanzania lakini kuna kitu kimoja wanakisahau.
Kufeli kwa wanafunzi wote hao 265 kuna sababu nyingi, lakini wengi wanasahau mtindo uliopo sasa hivi katika vyuo vingi Tanzania. Mtoto akishachaguliwa kujiunga na chuo ni lazima atamaliza na kuzawadiwa degree yake. Kuna vyuo hasa hivi vya Private mwalimu ukimark mitihani na ukaona kabisa huyu mtoto hana uwezo na ukambebesha somo, unakuja kuambiwa rekebisha matokeo watoto waende.
Wakiona watoto wengi wanafeli, unaulizwa hawa wote wakifeli wewe tutakulipa kwa pesa gani?
Elimu biashara imeharibu sana mfumo wetu wa elimu hapa nchini.
Kiufupi watoto wengi sana siku hizi wanazawadiwa degree huko vyuoni kwasababu mbalimbali.
Wapanue magoli kwenye kuajiri hao vilaza sasaMkuu ukishaingiza SIASA kwenye elimu we tegemea majanga. Ni swala la muda tu, utasikia wanasiasa wataingilia kati na hiyo law school ama itafutwa au watashinikizwa walegeze mitihani.
Iko hivi, nchi yetu ilipanua magoli kuanzia elimu ya msingi, sekondari na A-level. Ikafika wakati watu wanafaulu shule ya msingi huku hawajui kusoma wala kuandika! Watu hao wakaingia sekondari na magoli yakapanuliwa tena ili wapite tupate "numbers" za kutamba kwenye kampeni.
Sasa watoto hao walipofika vyuoni ikawa ni majanga, ikabidi serikali tena iingilie kati na kuanza kutishia kufunga vyuo au kuwafukuza/tishia walimu ambao masomo yao wanafunzi wanafeli. Sasa hao vilaza ndio wamefika level za law school, CPA nk na as usual ili kutatua tatizo serikali itaingilia kati kupanua magoli ili hao watu wapite!
Wapanue magoli kwenye kuajiri hao vilaza sasa
Taaluma ya sheria ife? Uko serious mkuu?Sasa wakifaulu wote waje mtaani kazi ziko wapi!!!??
Siku hizi kazi ya uwakili wa kujitegemea ni ngumu sana!!??
Waulize mawakili watakwambia. Alafu ni fani inayokwenda kufa supply kubwa demand kidogo