ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ok sorry namaanisha uwakili wa kujitegemea kiasi kikubwa utashek.Taaluma ya sheria ife? Uko serious mkuu?
Hii ndiyo taaluma pekee ambayo ni ya kudumu duniani kwakuwa inaingia kwenye maeneo mengi ya ulimwengu wa leo.
Kuna baadhi ya nchi ili usome sheria basi lazima kwanza uwe na degree ya fani yoyote. Hadi hapo huoni umuhimu wake?
Fact
Nimeona watu wengi sana wakiilaumu Shule ya Sheria Tanzania lakini kuna kitu kimoja wanakisahau.
Kufeli kwa wanafunzi wote hao 265 kuna sababu nyingi, lakini wengi wanasahau mtindo uliopo sasa hivi katika vyuo vingi Tanzania. Mtoto akishachaguliwa kujiunga na chuo ni lazima atamaliza na kuzawadiwa degree yake. Kuna vyuo hasa hivi vya Private mwalimu ukimark mitihani na ukaona kabisa huyu mtoto hana uwezo na ukambebesha somo, unakuja kuambiwa rekebisha matokeo watoto waende.
Wakiona watoto wengi wanafeli, unaulizwa hawa wote wakifeli wewe tutakulipa kwa pesa gani?
Elimu biashara imeharibu sana mfumo wetu wa elimu hapa nchini.
Kiufupi watoto wengi sana siku hizi wanazawadiwa degree huko vyuoni kwasababu mbalimbali.
Mkuu ukishaingiza SIASA kwenye elimu we tegemea majanga. Ni swala la muda tu, utasikia wanasiasa wataingilia kati na hiyo law school ama itafutwa au watashinikizwa walegeze mitihani.
Iko hivi, nchi yetu ilipanua magoli kuanzia elimu ya msingi, sekondari na A-level. Ikafika wakati watu wanafaulu shule ya msingi huku hawajui kusoma wala kuandika! Watu hao wakaingia sekondari na magoli yakapanuliwa tena ili wapite tupate "numbers" za kutamba kwenye kampeni.
Sasa watoto hao walipofika vyuoni ikawa ni majanga, ikabidi serikali tena iingilie kati na kuanza kutishia kufunga vyuo au kuwafukuza/tishia walimu ambao masomo yao wanafunzi wanafeli. Sasa hao vilaza ndio wamefika level za law school, CPA nk na as usual ili kutatua tatizo serikali itaingilia kati kupanua magoli ili hao watu wapite!
Mkuu, watu hawajui uhalisia wa wanafunzi wanaomaliza Degree na wengine hata Masters kipindi hiki. Vijana wanapewa tu hivyo vyeti ni watupu mno kichwani. Unamkuta mtu ana Masters ila katika kitu hicho hicho alichosoma ukimuuliza swali jepesi tu ni lazima akimbilie Google.
Kiufupi, watu wanachukulia kama ni roho mbaya lakini tuna watu wengi sana wenye Degree ambazo hawakustahili hata kufika mwaka wa pili, walipaswa kudisco kuanzia mwaka wa kwanza huko vyuoni.
Siasa haikupaswa kabisa kuingizwa katika elimu, tulikosea sana. Pia elimu haikupaswa kabisa kuwa biashara, tulikosea sana. Huwezi kufanya elimu biashara halafu utegemee wamiliki wa hivyo vyuo au shule wasifanye sarakasi zote ili kupata wanafunzi.
Suluhisho pekee kwa elimu yetu ni kukomesha biashara ya elimu.
Taaluma ya sheria ife? Uko serious mkuu?
Hii ndiyo taaluma pekee ambayo ni ya kudumu duniani kwakuwa inaingia kwenye maeneo mengi ya ulimwengu wa leo.
Kuna baadhi ya nchi ili usome sheria basi lazima kwanza uwe na degree ya fani yoyote. Hadi hapo huoni umuhimu wake?
We subiri miaka miwili mingi utaanza kusikia wanafunzi wote waliojiunga TLS wamefaulu kwa alama za juu 😃
Naked truthMkuu, watu hawajui uhalisia wa wanafunzi wanaomaliza Degree na wengine hata Masters kipindi hiki. Vijana wanapewa tu hivyo vyeti ni watupu mno kichwani. Unamkuta mtu ana Masters ila katika kitu hicho hicho alichosoma ukimuuliza swali jepesi tu ni lazima akimbilie Google.
Kiufupi, watu wanachukulia kama ni roho mbaya lakini tuna watu wengi sana wenye Degree ambazo hawakustahili hata kufika mwaka wa pili, walipaswa kudisco kuanzia mwaka wa kwanza huko vyuoni.
Siasa haikupaswa kabisa kuingizwa katika elimu, tulikosea sana. Pia elimu haikupaswa kabisa kuwa biashara, tulikosea sana. Huwezi kufanya elimu biashara halafu utegemee wamiliki wa hivyo vyuo au shule wasifanye sarakasi zote ili kupata wanafunzi.
Suluhisho pekee kwa elimu yetu ni kukomesha biashara ya elimu.
Acha wafeli,wengi wao wanaisapoti chadema!Wanataka wafaulu wote kama Askari pale CCP Moshi.
Asante mkuu, umevunja mzizi wa fitnaNaona wasiyojua Law School wanachambua wasichokitambua.
1. Law School kiuhalisia, siyo sehemu ya mafunzo kwa vitendo kama mnavyosikia redioni.
2. Somo la field lipo, ila marks zake hazihusiki kwenye kubaini ufaulu. Yaani alama za somo la field hazina maana kwenye GPA calculation maana hazitambuliki.
3. Wanafunzi wa Law School hufundishwa kwa nadharia darasani, na kuingia semina kama ilivyo vyuo vikuu.
4. Mwalimu mmoja hutoa mhadhara kwa wanafunzi wote 600+ na akimaliza anaingia mwingine hadi siku inaisha.
5. Mada zinazofundishwa Law School ni zilezile mwanafunzi alifundishwa vyuoni ngazi ya degree na hakuna tofauti.
6. Muda wa mitihani haupo fair. Kwenye mtihani mmoja, kunakuwa na maswali ya kuandaa hati za mashtaka na madai nyingi mno kiasi kwamba muda wa kuandaa hati hizo hautoshi. Kwa wasijua, hati za kisheria uandaaji wake unahitaji kurejea vifungu vya sheria mbalimbali ambazo unakuwa unazo mezani(Acts).
7. Wahadhiri wa Law School huamini kwamba wanafunzi wao watafeli na mtu akifaulu wanashangaa sana. Yaani wapo kama miungu watu. Pale Law School hata secretary anamdharau mwanafunzi na anataka umuinamie kumsujudu.
8. Mahakimu, na waajiriwa wengine wenye uzoefu kwenye sheria wakienda kujiendeleza Law School nao hufeli pia.
9. Kuna wakati mahakimu walishauriwa wasijiendeleze Law School maana ni fedhea hakimu mzoefu unafeli Law School. Badala yake waliaambiwa watapewa utambulisho maalum kwamba wamefuzu vigezo vya sheria kwa vitendo.
10. Suplementary yaani mitihani ya kurudia haina kikomo Law School. Unaweza hata ukakaa na sup. hata miaka 40.
11. Law School ukikata rufaa ya matokeo haipatiwi majibu na unaweza ukaanza apya kusoma na kumaliza bila kupata majibu ya rufaa.
12. Law School unasoma masomo yote uliyofundishwa kwenye shahada ya sheria kwa miaka minne, lakini ukifika Law School unafundishwa kwa miezi 6 na unapewa mitihani. Halafu miezi mingine 6 unaenda field.
🙏Asante mkuu, umevunja mzizi wa fitna
👏👏👏👏nlikuwa sjawah elewaga hizi secret big up san mrNaona wasiyojua Law School wanachambua wasichokitambua.

Kwann vtu vya miaka minne unasoma for only few months at law school?????[emoji848][emoji848][emoji848], Bado hujajiuliza???Naona wasiyojua Law School wanachambua wasichokitambua.

Hapana badoKwann vtu vya miaka minne unasoma for only few months at law school?????[emoji848][emoji848][emoji848], Bado hujajiuliza???
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Dah.. Mercy... Mercy... Mercy..Mkuu, watu hawajui uhalisia wa wanafunzi wanaomaliza Degree na wengine hata Masters kipindi hiki. Vijana wanapewa tu hivyo vyeti ni watupu mno kichwani. Unamkuta mtu ana Masters ila katika kitu hicho hicho alichosoma ukimuuliza swali jepesi tu ni lazima akimbilie Google.
Kiufupi, watu wanachukulia kama ni roho mbaya lakini tuna watu wengi sana wenye Degree ambazo hawakustahili hata kufika mwaka wa pili, walipaswa kudisco kuanzia mwaka wa kwanza huko vyuoni.
Siasa haikupaswa kabisa kuingizwa katika elimu, tulikosea sana. Pia elimu haikupaswa kabisa kuwa biashara, tulikosea sana. Huwezi kufanya elimu biashara halafu utegemee wamiliki wa hivyo vyuo au shule wasifanye sarakasi zote ili kupata wanafunzi.
Suluhisho pekee kwa elimu yetu ni kukomesha biashara ya elimu.
Unapoambiwa uandae Hati za mashtaka au ubaini Makosa ya Hati Fulani za mashtaka ,is that not practice???, Kwan practice n field tu???, Kwan kujua defectiveness ya Charges sio practice?, How do Preliminary Objections in regards to charges come from?Nimeona mada za kuchambua taarifa ya kufeli kwa wanafunzi Law School of Tanzania.
Binafsi na mimi nimepitia Law School, na haya ndiyo ninayoyafahamu kuhusiana na hiki chuo.