BORA HUYO ANAUZA MATAIRI. WENGINE BABA MARAIS WANAUZA POMBE AU SEMBE JEUPEKwa hiyo hakuna wafanyabiashara ambao ni wasomi mnasoma ili mpate ajira.
😄Mchengerwa ni mkwe wa Rais, mchango wa harusi anachangia million 20.
Huyo Abdul kuna watu walikuwa wanaomponda anauza matairi kariakoo livingstone sasa wacha awanyooshe na yeye.
Sijui hawa watu kama wanajua wana kiapo!Pia kwenye utawala wa Samia kuna jina la Abdul limeshika hatamu kwenye kila nyanja! Jina linavuma kwenye upande hasi! Yaani unatengenezewa picha mpaka unaogopa!
HIVI KWANI MWENYE BIASHARA ZA MATAIRI NI ABDUL AU NDUGU YAKE?BORA HUYO ANAUZA MATAIRI. WENGINE BABA MARAIS WANAUZA POMBE AU SEMBE JEUPE
Waislam wanapatikana bongo?! 🐼Chuki zenu kila anaokuwa kiongozi muislam
Hakuna ukweli wowote zaidi ya utoto uliokuwa nao kuwa muislam akikosolewa wewe badala ya kuhoji juu ya tuhuma kama ni za kweli au la unakimbilia kwenye kifuniko cha udini. Mbona maraisi Wakristo pia wamekosolewa sana tu.naona umekasirika, ukiambiwa ukweli inaonekana unauma
Hapa kuna wavaa vipedo na makobazi tuWaislam wanapatikana bongo?! 🐼
Hawa wenzetu wa Pwani kwao huo ni ufahari!!!Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto ni bonge la fisadi!
Pia kwenye utawala wa Samia kuna jina la Abdul limeshika hatamu kwenye kila nyanja! Jina linavuma kwenye upande hasi! Yaani unatengenezewa picha mpaka unaogopa!
Najua siasa ni mchezo mchafu iwe kwenye nchi zilizoendelea na zisizoendelea! Inawezekana maadui na mahasimu wao wa kisiasa wanachezesha kete!
Sitaki kufahamu kama ni kweli au si kweli, ila huwa naona kama taasisi ya urais huwa kama inachafuka mno na kutia aibu!
Wazazi wao huwa hawalioni hili? Washauri wao huwa hawalioni hili? Watoto wenyewe huwa hawalioni hili? Wanaolinda hadhi ya taasisi huwa hawalioni hili?
Naomba nikumbushwe na kusahihishwa kama mtoto wa Nyerere, Mkapa na Magufuli walivumishwa sana kama hawa wawili! Kwa Mwinyi mke alivuma sana!
Nb: Ni mtazamo tu, lete wa kwako!
Unaishi sayari gani?Abdul amemchafua vipi mama yake.?
Na Abdul amevuma wapi?
Mpwa wa jiwe aitwaye Dotto James alikuwa paymaster general (alikuwa mshamba wahed).Naomba nikumbushwe na kusahihishwa kama mtoto wa Nyerere, Mkapa na Magufuli walivumishwa sana kama hawa wawili! Kwa Mwinyi mke alivuma sana!
Tatizo ni mila za Uswahili, mswahili hata akinunua gari ukoo mzima unajiona wamiliki wa gari na kutamba mitaaniSiyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto ni bonge la fisadi!
Pia kwenye utawala wa Samia kuna jina la Abdul limeshika hatamu kwenye kila nyanja! Jina linavuma kwenye upande hasi! Yaani unatengenezewa picha mpaka unaogopa!
Najua siasa ni mchezo mchafu iwe kwenye nchi zilizoendelea na zisizoendelea! Inawezekana maadui na mahasimu wao wa kisiasa wanachezesha kete!
Sitaki kufahamu kama ni kweli au si kweli, ila huwa naona kama taasisi ya urais huwa kama inachafuka mno na kutia aibu!
Wazazi wao huwa hawalioni hili? Washauri wao huwa hawalioni hili? Watoto wenyewe huwa hawalioni hili? Wanaolinda hadhi ya taasisi huwa hawalioni hili?
Naomba nikumbushwe na kusahihishwa kama mtoto wa Nyerere, Mkapa na Magufuli walivumishwa sana kama hawa wawili! Kwa Mwinyi mke alivuma sana!
Nb: Ni mtazamo tu, lete wa kwako!
нαтα ωαтσтσ мкαρα ωαиgαℓινυмα...ѕιᴊυι кωαиιиι нαωαкυтαкα кυνυмα! уα мυиgυ мєиgι...тυмωα¢нιє мυиgυ!Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto ni bonge la fisadi!
Pia kwenye utawala wa Samia kuna jina la Abdul limeshika hatamu kwenye kila nyanja! Jina linavuma kwenye upande hasi! Yaani unatengenezewa picha mpaka unaogopa!
Najua siasa ni mchezo mchafu iwe kwenye nchi zilizoendelea na zisizoendelea! Inawezekana maadui na mahasimu wao wa kisiasa wanachezesha kete!
Sitaki kufahamu kama ni kweli au si kweli, ila huwa naona kama taasisi ya urais huwa kama inachafuka mno na kutia aibu!
Wazazi wao huwa hawalioni hili? Washauri wao huwa hawalioni hili? Watoto wenyewe huwa hawalioni hili? Wanaolinda hadhi ya taasisi huwa hawalioni hili?
Naomba nikumbushwe na kusahihishwa kama mtoto wa Nyerere, Mkapa na Magufuli walivumishwa sana kama hawa wawili! Kwa Mwinyi mke alivuma sana!
Nb: Ni mtazamo tu, lete wa kwako!
Kwahiyo watoto wa Nyerere na Mkapa waliishi kiboya??????Jesca nae alivuma pia,lakini si kwa mtazamo hasi,lakini ukija kwa hao wengine hata ingekuwa wewe baba yako au mama yako ni Rais wa nchi utaishije kiboya?
Watoto wa wafanyakazi wa kawaida tu kwenye taasisi za umma hasa hawa wakurugenzi n.k wana maisha ya kufuru.
Tuache wivu ....
Wavaa makobanzi?.Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto ni bonge la fisadi!