Umesahau njaa ya ngono piaNakazia
MMU watu wengi wana njaa za tumbo na mapenzi
Si nitaua mtoto wa watu na kisukari sasaπ€£π€£ nipate kesiNdio π sukari ndio kabisaa
Unaweza ukakua mwili ila akili isikue mi akili yangu haijakua na haiwezi kukua japokuwa nina miaka 37 ila nina akili za mtoto wa miaka 14 hivyo tunatofautianaJitahidi ukue .
Utamtumia wakwangu πSi nitaua mtoto wa watu na kisukari sasaπ€£π€£ nipate kesi
Na mwanasheria wangu yuko nje ya nchi nani ataniteteaπ
Imetoka hiyoInasikitisha sijui alifanya nini yule bibie.
Kuna muda mm naingia nagonga like natembeaπ kama ndugu yangu Half american Sharamdala na raraa rereeKuna muda bora kuwa kimya maana kuna mambo mengine hata hayajadiliki
Mbona unacheka πDaaaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi gani au ule wa cocastic apigwe ban?Ule uzi umewaponza wengi sanaπ
π€£π€£ Mengineyo yapi hayoUtamtumia wakwangu π
Bora afe na utamu kuliko yale mengineyo
π―π―Binafsi huwa mods wakinipiga bani huwa sihangaiki nao kuomba msamaha. Kiufupi nafungua ID mpya maisha yanasonga iliyopigwa bani naisahau mazima hata kama ni siku 2 na hii imenifanya niwe na ID zaidi ya 10.
Mapembe yakianza kuota lazima yakatwe, yakiachwa yatachoma wengine [emoji23]1. mpwayungu village yuko banned
2. Ummughaka na story yake akinyi must die yuko banned
3. Cocastic yuko banned
4. Deepond mzee wa story ndefu
Nimeona wengi kweli [emoji1787] Tujifunze kuwa na uvumilivu humu ndani Pamoja na kuwa hatufahamiani ila bado sisi ni wamoja JF ni yetu sote. .
Mbona nimeona jana kaanzisha threadMpwayungu ni life ban hilo kapokea πππ usitegemee id yake ifunguliwe tena huyo
Kabadilisha id mkuuu sema ni same person huyo mpe 4 weeks ile id itavuma kuliko ya Mpwayungu Village mark my wordMbona nimeona jana kaanzisha thread
Kuna ile nagulo na ryanKabadilisha id mkuuu sema ni same person huyo mpe 4 weeks ile id itavuma kuliko ya Mpwayungu Village mark my word
mbaya sana ,walielekea kufanya huu mtandao kua kichaka cha machangudoaMaembe yakianza kuota lazima yakatwe, yakiachwa yatachoma wengine [emoji23]
Hiyo ya ryan ndo anaikuza hiyo kila siku thread ya kuponda walimuKuna ile nagulo na ryan
[emoji2][emoji2][emoji23] duhh! Pole sanaSitasahau nilipigwa Ban ya miezi 7
View attachment 2579004