Kuvumiliana JF

Status
Not open for further replies.
acha unafiki wewe mbona unashinda humu?toa tobo iloo.
 
Nakazia....

Na watu wa hivyo hua kuact ni ngumu, utawashtukia tu maana kujizuia hawawezi.... Poor them
 
Ndio maana nilisema kuna mambo mengine ni kuyapotezea juu kwa juu. Kuamua kuwa neutral hakufanyi uwe muoga au mjinga. Kuna watu hawastahili attention hata kidogo hasa kwenye mambo ambayo huchangia uvunjifu wa sheria.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…