Kuvumiliana JF

Kuvumiliana JF

Status
Not open for further replies.
Mtu anaweza akaku quote kwa mambo ya kijinga
Au kuja PM na matusi
Na kusingiziwa tu mambo tukubwa tukubwa ila sasa utafanyaje.
True happiness haiko kwenye mitandao ya kijamii. Ukiona mtu kila kitu ni mitandaoni jua ana mental breakdown sema hataki tuu kukubali ukweli.
Mnasifia na kuwabeba ndio maana wanafanya kila kitu wasitoke kwenye reli.[emoji119]
acha unafiki wewe mbona unashinda humu?toa tobo iloo.
 
Mtu anaweza akaku quote kwa mambo ya kijinga
Au kuja PM na matusi
Na kusingiziwa tu mambo tukubwa tukubwa ila sasa utafanyaje.
True happiness haiko kwenye mitandao ya kijamii. Ukiona mtu kila kitu ni mitandaoni jua ana mental breakdown sema hataki tuu kukubali ukweli.
Mnasifia na kuwabeba ndio maana wanafanya kila kitu wasitoke kwenye reli.[emoji119]
Nakazia....

Na watu wa hivyo hua kuact ni ngumu, utawashtukia tu maana kujizuia hawawezi.... Poor them
 
Mtu anaweza akaku quote kwa mambo ya kijinga
Au kuja PM na matusi
Na kusingiziwa tu mambo tukubwa tukubwa ila sasa utafanyaje.
True happiness haiko kwenye mitandao ya kijamii. Ukiona mtu kila kitu ni mitandaoni jua ana mental breakdown sema hataki tuu kukubali ukweli.
Mnasifia na kuwabeba ndio maana wanafanya kila kitu wasitoke kwenye reli.[emoji119]
Ndio maana nilisema kuna mambo mengine ni kuyapotezea juu kwa juu. Kuamua kuwa neutral hakufanyi uwe muoga au mjinga. Kuna watu hawastahili attention hata kidogo hasa kwenye mambo ambayo huchangia uvunjifu wa sheria.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom